Hapana kama maombi yenyweMkuu.....
Nyimkisha mtibu, minamalizia kwa kumfanyia maombi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Naomba nipafaham kanisani kwenu aiseeeeee......[emoji12] [emoji12]Hapana kama maombi yenywe
N yale mnaitana chumbaa
Maalumu cha kuombea
Hatukubali kabisa[emoji18] [emoji18] [emoji18]
Cc wenywe tutaenda kumuombea
Kanisan kwetu
Chunguza saana vyakula unavyokula kipo kinasababisha au aina ya tunda au kinywajiNaomba msaada wa tiba ya ugonjwa huu kama picha inavyojionyesha.
View attachment 533864
Mkanda wa jeshi huo! nenda hospital dawa zipo!wakumbushe wakupime ukimwi pia!Naomba msaada wa tiba ya ugonjwa huu kama picha inavyojionyesha.
View attachment 533864
Hapana kanisan kwetu nNaomba nipafaham kanisani kwenu aiseeeeee......[emoji12] [emoji12]
Maana nahisi kuna fursa nyingi za wanao hitaji maombi, hasa kutoka kwangu......[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Duuh, yamekuwa hayo tena?embu shusha kidogo hicho kitenge kwanza
Duuh! Unataka kula kwa machoKwenye mapaja haujafika embu piga picha uiweke tuone
[emoji28] [emoji12] [emoji12]Haikubalik hiiii dawa tutoe wengne
Af ww ukale huo mteremko hapana
Ntaandamana[emoji17] [emoji17]
Ushimen wewe ni Hatar sanaUkipona naomba unitafute, nina ujumbe wako....[emoji5] [emoji5]
Mkuu....Ushimen wewe ni Hatar sana
Pole sana Dada,nenda hospital ukaonane na wataalam wa magonjwa ya ngozi.Nahc hyo itakuwa ni allergyNaomba msaada wa tiba ya ugonjwa huu kama picha inavyojionyesha.
View attachment 533864
Subhannalah.......[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mzee bila kukuona ww na Gudume huwa nahc kama Jf bado haijakamilika,Mungu awapeni uzma na afya njema mileleMkuu....
Hata kama mimi ni hatari, lakini ni salama....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Bila shaka umenielewa