Dawa ya kiburi ni jeuri, nilivyomkomoa ex anaeuza duka kwa kununua condom kila nilipojisikia kumuudhi

Dawa ya kiburi ni jeuri, nilivyomkomoa ex anaeuza duka kwa kununua condom kila nilipojisikia kumuudhi

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
2015 Nilipomaliza form 6 nilipata binti anauza duka tukaweza kuanzisha mahusiano na muda ukiruhusu nilikuwa namvusha kwao nampeleka geto kumchakata, baada ya wiki alianza kuleta ujuaji + vizinga, nakumbuka alikuwa anatuma sana mesej kuniponda na kunifananisha na wenye uwezo, n.k. tuliachana.

Nilipata mwengine nilifunga safari kwenda dukani kwa huyo ex, tulifika dukani pale nikamnunulia gf pringles za kula, nikawa naona dhahiri kabisa ex ana wivu, nikauliza kama pana condom hakuwaeza kunijibu ila ni mwenzake akaniambia zipo nataka ngapi, nikachukua pakiti moja, sura yake niliona anatamani kulia kabisa.

Mesej zinaingia niache utoto, ni move on, n.k.

So ndio ukawa mchezo wangu, kila nikijisikia kufumua mshono naenda hio supermarket nazuga nanunua vibigijii au vocha ila lengo kuu ni kununua condom.

Nikikumbuka huwa nacheka sana ila ulikuwa utoto, niliacha kwa kumuepusha maradhi ya moyo binti wa watu.

Niliwahi kukutana nae 2019, basi nikamdanganya yule dem niliempeleka alikuwa dada yangu hakua dem wangu zile condom nilikuwa naenda kuzitupa tu, akawa anacheka sana, nikamla kimasihara.
 
Nilipomaliza form 6 nilipata binti anauza duka tukaweza kuanzisha mahusiano na muda ukiruhusu nilikuwa namvusha kwao nampeleka geto kumchakata, baada ya wiki alianza kuleta ujuaji + vizinga, nakumbuka alikuwa anatuma sana mesej kuniponda na kunifananisha na wenye uwezo, n.k. tuliachana.

Nilipata mwengine nilifunga safari kwenda dukani kwa huyo ex, tulifika dukani pale nikamnunulia gf pringles za kula, nikawa naona dhahiri kabisa ex ana wivu, nikauliza kama pana condom hakuwaeza kunijibu ila ni mwenzake akaniambia zipo nataka ngapi, nikachukua pakiti moja, sura yake niliona anatamani kulia kabisa.

Mesej zinaingia niache utoto, ni move on, n.k.

So ndio ukawa mchezo wangu, kila nikijisikia kufumua mshono naenda hio supermarket nazuga nanunua vocha ila lengo kuu ni kununua condom.
Unadhani ulimkomoa kumbe ulikua mteja wao wa kudumu wa pringles na condom, uliwapa faida.
 
Unadhani ulimkomoa kumbe ulikua mteja wao wa kudumu wa pringles na condom, uliwapa faidan
Mbele ya kisasi huwa hatujali pesa, huwa tunaangalia kukomoa tu.

Manji aliwahi kugharamika mamilioni kumfungulia Mengi kesi kisa shilingi 1
 
Write your reply...Unajichorha tu kisasi hawalipi hivyo sema ulifvata tamu.
 
Back
Top Bottom