Dawa ya kienyeji kali ya kurudisha mke ndoani

Steven Masele

Member
Joined
Jun 15, 2025
Posts
6
Reaction score
12
Kwema wadau mke wangu aliondoka kitambo nahitaji arudi au huko alikopanga awe mke wangu wa pili najua akija zalishwa na wengine nitaumia mara mbili yake kumbukeni niliumia sana kipindi aliondoka nimekuja kuzoea baada ya mwaka nisaidieni jamani kwa ajuaye nimeona ndoa ni sehemu ya kupambana na kifo kwa upande mwingine usipoangalia au kuwa makini kina kupitia niambieni dawa gani
 
Dawa ni hii hapa mkuu, tafuta hela
download (2).jpeg
 
Huwaga ego zinatesa sana. Hapo ukute ukiwazaga atakuja kurudi mwee
 
Unatafuta maradhi ya moyo... ila kwa kuwa unafosi nitakutengenezea dawa, ila ikiisha mie sipo duniani shauri yako.

Tafuta mbuzi wawili wakomavu dume na jike..
KUku wawili dume na jike..
Bata wawili dume na jike.
Njiwa dume na jike
Paka dume na jike
Mbwa dume na jike.

Uje nikufanyie kazi, usiku mmoja tu. Kesho yake asubuhi unamuona mlangoni kwako..

Malipo baada ya kazi, na ukijidai mjanja haulipi naada ya kazi nakupeleka KIKUNDU JUU
 
😂😂😂Mbona mm mdogowako hunipi hizi dawa
 
😂😂😂Mbona mm mdogowako hunipi hizi dawa
😂🤣🤣🤣Kila jambo lina faida na hasara zake.

Kulazimisha mapenzi nikupe mfano wa kulazimisha kula sijui nikupe mfano wa nguvu.

Mfano ukiwa na akiba ya chakula cha siku u, ukafosi kupika ndani ya siku 1, maana yake, siku 6 hizi utaishi bila msosi, ni bora uishi na ile ile bajeti yako ili zile siku 7 zipite.
Ama akiba(mshahara) ni laki 9, maana yake kila siku utumie 30. Wewe ukafosi ndani ya wiki umemaliza laki 9 zote, maana yake hizo siku nyingine utaishi kwa tabu sana.

Ndio hapa kwenye madawa, anakupenda kwa 60% labda imeandikwa ndio mpaka kufa kwenu, wewe unafosi tumfanye zezeta awe anakupenda kwa 100% yaani wanawake woote anaona ni dada zale wa tumbo 1, sasa kwa kuwa tunamvuta toka 60% kuja 100% maana yake badala ya kukupenda kwa 60%mpaka kufa, anaweza kuwa zezeta kwako kwa miaka 5 hivi kutegemea na alikuwa anakupenda aslimia ngapi hapo awali na hiyo mpaka kufa yenu ilikuwa ni miaka mingapi.
So kuna energy inafyonzwa hapa.na si unajua "The law of conservation of energy states that energy is never created or destroyed, but only transformed from one form to another," na mambo ya equilibrium hapo kubalansi mzani, ndio matokeo yake hayo

Q
 
Kumbe eeh
 
Back
Top Bottom