Kwema wadau mke wangu aliondoka kitambo nahitaji arudi au huko alikopanga awe mke wangu wa pili najua akija zalishwa na wengine nitaumia mara mbili yake kumbukeni niliumia sana kipindi aliondoka nimekuja kuzoea baada ya mwaka nisaidieni jamani kwa ajuaye nimeona ndoa ni sehemu ya kupambana na kifo kwa upande mwingine usipoangalia au kuwa makini kina kupitia niambieni dawa gani
Comrade kama no mkristo!!
"Baba katika jina la yesu naomba urudishe hii hali ninayojisikia irudi kwake na sio kwangu,Yale malengo aliyokua nayo kunihusu Hadi hii hali inanipata naomba irudi ilipotoka katika jina la yesu,Rudisha nyakati zioe kabla sijamuoa yeye!Mimi sio mateka wa mtu yeyote nakemea,naharibu,nateketeza,nachoma moto hiyo hali katika jina la yesu kristo Amen""
Usiku baada ya kula ,kama unachumba Cha peke yako soma na mathayo 7:7 halafu omba kwa kuachilia nguvu huo mzigo unaokutesa utaondoka
Unaweza ukaongezea na hili la kimedani zaidi
"Baba kama huyu mwanamke ni wangu ulinipa naomba aje,kama sio muondoe moyoni na Wala sitaki kuwaza kuhusu yeye,katika juna la yesu kristo"
Ndio ndio,mzigo Huwa unaondoka
Kimbembe kama ulikua na watoto nae happy itabidi uombe Kwa nguvu nyingine ili upate nguvu ya ku move on coz Kuna wanawake huamua kumtesa mtu kisa watoto ,akijua unawapenda wanao!happy itabidi uombe mungu akupe roho ya ku sizi vile Ili mamboo mengine yaendelee huku ukiwaombea mafanikio!!coz huwa wanatumia watoto kama fimbo ya kukupigia kama ameona ume move on kuhusu yeye,ataanzisha mgogoro mwingine ili uumie halafu kulipa kisasi kwa kuwaambia mabaya ambayo hayapo!
Kama wewe ni muislam utaniambia Ili nikuambie nini Cha kufanya!!
KILA MTU NI MALI YA MUNGU,HAKUNA MTU MWENYE HAKI YA KUMFANYA MWENZAKE MATEKA KISA CHOCHOTE KILE ,IWE MALI,WATOTO,UKE,UUME ,MOYO WALA CHOCHOTE!!
HALAFU ASILI HAINA SHERIA BALI ASILI HUANGALIA MAHITAJI YA NYAKATI NA SIO UMILELE WA HALI!MWANAMKE NI SEHEM YA ASILI NA NYAKATI,NYAKATI ZIKIISHA UNAHAMIA KWENYE NYINGINE,ACHE I KUAPA KUISHI NA WA AWAKE HADI KIFO KIWATENGANISHE COZ MTAKUFA KWELI KABLA YA WAKATI!!
PIA
SIO KILA MWANAMKE KAUMBWA AZEEKE NA MWANAMME KUNA WENGINE NI KINA DELILA WA LEO WANAHITAJI MWANAMME KWAAJILI YA KUKAMILISHA MAMBO YAO NA WAKISHA TIMIZA TU TIMBWILI LINAANZA NDANI,UKISHAJUA HILO HUTOSUMBUKA KUITA VIKAO WALA MAOMBI BALI UTAENDA KUOA TENA ,NA KUOA HAKUNA MWISHO NI HADI PALE NGUVU ZITAKAPOKUISHIA!!
MAKINIKA COMRADE!!
WRITEN WITH PERSONAL EXPERIENCE SIJAANDIKA NADHARIA BALI NILICHO NA UZOEFU NACHO!!
KAZI na utu,hebu tuuone huo utu awam hii!!Ili tusonge mbele Kwa pamoja!!