Dawa ya kitambi hii hapa

kupunguza kitambi ni kuchanganya ndizi mbivu,maziwa na hasari! ni dawa tosha ya kitambi,presha,bawasili,kifua kikuu! nk!
 
hii dawa inakuwa je weka dozi mkuu
ni vizuri kutumia mara kwa mara! hata kama huna matatizo hayo, inasaidia kwa kinga! hata hivyo ni vitu asilia! dozi, tumia mara nyingi zaidi kwa kadiri ya uwezo wako, maana hakuna madhala yoyote!
 
ni vizuri kutumia mara kwa mara! hata kama huna matatizo hayo, inasaidia kwa kinga! hata hivyo ni vitu asilia! dozi, tumia mara nyingi zaidi kwa kadiri ya uwezo wako, maana hakuna madhala yoyote!
ngoja nianze hii utaratibu kwa kweli
 
ni vizuri kutumia mara kwa mara! hata kama huna matatizo hayo, inasaidia kwa kinga! hata hivyo ni vitu asilia! dozi, tumia mara nyingi zaidi kwa kadiri ya uwezo wako, maana hakuna madhala yoyote!
Wewe ungekuwa daktari hakika ungeua watu! Yaani husemi ndizi ngapi, maziwa kiasi gani na hivyo vichanganyio vingine?
 
Nidhamu tu ya kula ...
 
Mimi Nimeshakiondoa kitambi ndani ya miezi miwili,na sasa nipo fiti sana .Poleni mliobakia na vitambi ,dawa kubwa ni kuacha kula wanga,sukari,na kupunguza ulaji wa vyakula vyenye protini ,na kufanya mazoezi ya 1 hr kila siku.
 
Mi nikikupa dawa yangu utapungua ndani ya wiki tu, lakini je una moyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…