Dawa ya kitambi hii hapa

Dawa ya kitambi hii hapa

Njooni tujadili mapungufu na tupange mikakati.

Vitambi ni mzigo; pressure ni yetu, kufunga viatu ni shida, kutembea ni shida, wembamba wanatunyanyasa, kitandani wazito, wengi tunavibamia, chakula tunaambiwa tule kidogo eti tunywe maji ya moto.

Kadhia zote zipo kwetu. Tushauriane jinsi ya kupambana nazo.
kupunguza kitambi ni kuchanganya ndizi mbivu,maziwa na hasari! ni dawa tosha ya kitambi,presha,bawasili,kifua kikuu! nk!
 
hii dawa inakuwa je weka dozi mkuu
ni vizuri kutumia mara kwa mara! hata kama huna matatizo hayo, inasaidia kwa kinga! hata hivyo ni vitu asilia! dozi, tumia mara nyingi zaidi kwa kadiri ya uwezo wako, maana hakuna madhala yoyote!
 
ngoja nianze hii utaratibu kwa kweli
 
ni vizuri kutumia mara kwa mara! hata kama huna matatizo hayo, inasaidia kwa kinga! hata hivyo ni vitu asilia! dozi, tumia mara nyingi zaidi kwa kadiri ya uwezo wako, maana hakuna madhala yoyote!
Wewe ungekuwa daktari hakika ungeua watu! Yaani husemi ndizi ngapi, maziwa kiasi gani na hivyo vichanganyio vingine?
 
Njooni tujadili mapungufu na tupange mikakati.

Vitambi ni mzigo; pressure ni yetu, kufunga viatu ni shida, kutembea ni shida, wembamba wanatunyanyasa, kitandani wazito, wengi tunavibamia, chakula tunaambiwa tule kidogo eti tunywe maji ya moto.

Kadhia zote zipo kwetu. Tushauriane jinsi ya kupambana nazo.

Nidhamu tu ya kula ...
 
Mimi Nimeshakiondoa kitambi ndani ya miezi miwili,na sasa nipo fiti sana .Poleni mliobakia na vitambi ,dawa kubwa ni kuacha kula wanga,sukari,na kupunguza ulaji wa vyakula vyenye protini ,na kufanya mazoezi ya 1 hr kila siku.
 
Mi nikikupa dawa yangu utapungua ndani ya wiki tu, lakini je una moyo?
 
Back
Top Bottom