Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
😀😀😀😀😀Mwenzangu unataka tako ngapi? Maana hzo kwangu ni maximum, kawaida ni tako 3,then fyuuuuuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀Mwenzangu unataka tako ngapi? Maana hzo kwangu ni maximum, kawaida ni tako 3,then fyuuuuuuuuuu
kupunguza kitambi ni kuchanganya ndizi mbivu,maziwa na hasari! ni dawa tosha ya kitambi,presha,bawasili,kifua kikuu! nk!Njooni tujadili mapungufu na tupange mikakati.
Vitambi ni mzigo; pressure ni yetu, kufunga viatu ni shida, kutembea ni shida, wembamba wanatunyanyasa, kitandani wazito, wengi tunavibamia, chakula tunaambiwa tule kidogo eti tunywe maji ya moto.
Kadhia zote zipo kwetu. Tushauriane jinsi ya kupambana nazo.
Nimefurahi sanaKitambi kinaleta heshima mtaan unaweza ukakopa bila wasiwasi
hii dawa inakuwa je weka dozi mkuukupunguza kitambi ni kuchanganya ndizi mbivu,maziwa na hasari! ni dawa tosha ya kitambi,presha,bawasili,kifua kikuu! nk!
ni vizuri kutumia mara kwa mara! hata kama huna matatizo hayo, inasaidia kwa kinga! hata hivyo ni vitu asilia! dozi, tumia mara nyingi zaidi kwa kadiri ya uwezo wako, maana hakuna madhala yoyote!hii dawa inakuwa je weka dozi mkuu
ngoja nianze hii utaratibu kwa kwelini vizuri kutumia mara kwa mara! hata kama huna matatizo hayo, inasaidia kwa kinga! hata hivyo ni vitu asilia! dozi, tumia mara nyingi zaidi kwa kadiri ya uwezo wako, maana hakuna madhala yoyote!
Mmmh,kwani we si demu au una jinsia mbili??ngoja nianze hii utaratibu kwa kweli
ni demu mkuu lakini si nina wanaume mkuuMmmh,kwani we si demu au una jinsia mbili??
Wewe ungekuwa daktari hakika ungeua watu! Yaani husemi ndizi ngapi, maziwa kiasi gani na hivyo vichanganyio vingine?ni vizuri kutumia mara kwa mara! hata kama huna matatizo hayo, inasaidia kwa kinga! hata hivyo ni vitu asilia! dozi, tumia mara nyingi zaidi kwa kadiri ya uwezo wako, maana hakuna madhala yoyote!
Mmmh,kwani we si demu au una jinsia mbili??
ni demu mkuu lakini si nina wanaume mkuu
okey nitamfikishia ujumbePamoja,,ila mazoezi muhimu,,mi Nna kitambi lakini sababu ya mazoezi kimekuwa kama sio kitambi,,,sio kero kwangu
Njooni tujadili mapungufu na tupange mikakati.
Vitambi ni mzigo; pressure ni yetu, kufunga viatu ni shida, kutembea ni shida, wembamba wanatunyanyasa, kitandani wazito, wengi tunavibamia, chakula tunaambiwa tule kidogo eti tunywe maji ya moto.
Kadhia zote zipo kwetu. Tushauriane jinsi ya kupambana nazo.
NinaoMi nikikupa dawa yangu utapungua ndani ya wiki tu, lakini je una moyo?
Ok, vizuri njoo hapa Gomz kwenye viwanja vya mpira vya shule ya Mwangaza upate mazoeziNinao