Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,178
kuna njia nyingi zinaelezwa kama juhudi za kutokomeza kitambi, leo jaribu hiii
tafuta ukwaju at least nusu kilo au robo kilo,ukisha uandaa uloweke kwenye maji lita moja kwa nusu kilo au maji nusu lita kwa ukwaju robo kilo, wait until 2hours to pass, then kamua kutenganisha juice ya ukwaju na peke zake, baada ya kupata juice yake weka kwenye glass na uchanganye na asali kwa kiwango cha kupata test standard kama juice zingine,
kitakachofatia baada ya kama saa moja....utaharisha sana sana, fanya hivo every day mara tatu kwa siku hadi utapo ona sasa inatosha, kwa kifupi ni tiba nzuri sana, TRY IT, u can see...na kama kikigoma kutoka ni bora ukafanyiwe oparesheni au ukaombewe
Red =
Kwa hiyo ukiweka juisi kwenye glass tu unaanza kuharisha ?
Naomba ufafanuzi kidogo.