Dawa ya kitambi hii hapa

Dawa ya kitambi hii hapa

kuna njia nyingi zinaelezwa kama juhudi za kutokomeza kitambi, leo jaribu hiii
tafuta ukwaju at least nusu kilo au robo kilo,ukisha uandaa uloweke kwenye maji lita moja kwa nusu kilo au maji nusu lita kwa ukwaju robo kilo, wait until 2hours to pass, then kamua kutenganisha juice ya ukwaju na peke zake, baada ya kupata juice yake weka kwenye glass na uchanganye na asali kwa kiwango cha kupata test standard kama juice zingine,
kitakachofatia baada ya kama saa moja....utaharisha sana sana,
fanya hivo every day mara tatu kwa siku hadi utapo ona sasa inatosha, kwa kifupi ni tiba nzuri sana, TRY IT, u can see...na kama kikigoma kutoka ni bora ukafanyiwe oparesheni au ukaombewe

Red =
Kwa hiyo ukiweka juisi kwenye glass tu unaanza kuharisha ?
Naomba ufafanuzi kidogo.
 
Kweli kitambi ni janga la taifa, ntakipigia kura 2015 chama kitakachokuw na sera ya operesheni ondoa vitambi....kuwa na pesa bila kitambi inawezekana au tumejisusa kwa sab life expectancy ya mTZ ni miaka 50 na ushee!!
 
Ukwaju ni dawa ya vitu vingi.nguvu za kiume,malaria,inaondoa sumu mwilini,kazi nyingi za ukwaju hufanywa pia na asali,kwa hiyo hiyo ni combination na ukweli.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Red =
Kwa hiyo ukiweka juisi kwenye glass tu unaanza kuharisha ?
Naomba ufafanuzi kidogo.

Sayansi yake kali ngoja atoe ufafanuzi au ni osmosis inatake place,pia ukwaju unakwangua utumbo so wenye ulcers kuweni makini...Chief ungetoa tahadhari zaidi we umeweka ya kuwa karibu na choo tu!
 
nimeipenda hiyo hapo juu kuwa bila kitambi hupati mademu wala bia za mkopo!!????
mkubwa siku mademu wenyewe hawataki kitambi iweje uwapate kwa kutumia kitambi chako!!!!huyo atakuwa siye....

Mademu wa uswazi wanaamini kitambi ndio pesa
 
Hata kyepe situmii kabisaaa....labda ni wali

Wali ni wanga, unatakiwa upunguze matumizi ya vyakula vya wanga, badala ya kula ugali au wali, jaribu miunganiko ifuatayo: Samaki+mboga majani au nyama+mboga majani, unaweza pia tumia fresh mixed salad badala ya mchemsho wa mboga majani. Kwahiyo kwenye sahani yako pembeni kama ni samaki basi samaki wa kutosha na mboga majani nyingi pembeni, usiongeze ugali wala wali hapo.

Kuna thread nyingine ya vitambi hii hapa: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/150454-chanzo-cha-vitambi-uzito-na-unene-kupita-kiasi.html
 
Mtaambiwa mnywe mkojo wa ng'ombe sasa kuondoa vitambi tunzeni vitambi vyenu mmejaaliwa kila mtu na maajaaliwa yake ndo mana kuna warefu wafupi wanene wembamba wenye nanii kubwa na wenye naniii ndogo be proud of what u are!!
 
Mtaambiwa mnywe mkojo wa ng'ombe sasa kuondoa vitambi tunzeni vitambi vyenu mmejaaliwa kila mtu na maajaaliwa yake ndo mana kuna warefu wafupi wanene wembamba wenye nanii kubwa na wenye naniii ndogo be proud of what u are!!

Mkuu, kitambi siyo majaaliwa, kitambi ni UGONJWA, ni hatua mojawapo ya kuporomoka kwa mwili wa binadamu.
 
Ni kweli inafanya kazi sawa na laxative kama ducolax. Pia nimeipenda kwa mana haiumi tumbo kama chai za kichina ambazo nyingi hua zinachanganywa na kemikali japo wanadai ni natural. Ila cha muhimu ni kufanya mazoezi pia.
 
Kama ninavyojua mimi kitambi ni matokeo ya mtanuko wa misuli ya tumbo inayosababishwa na mambo mengi ikiwa ni pamoja na kula kupita kiasi.Sasa mleta mada anajaribu kutuelimisha eti ukinywa juice ya mchanganyiko wa ukwaju unavyoweza kumsaidia mtu kuondoa kitambi. Hili linawezekana lakini hakuna budi jitihada zingine zifanyike ikiwa ni pamoja na mazoezi na kula kwa kufuata wataalamu wa lishe bora wanvyoshauri. Mazoezi ndio sehemu kbwa ya ufumbuzi wa tatizo hili la kitambi, mazoezi yanasaidi kukaza misuli ya tumbo itakayolegea baada ya mafuta kupungua mwilini kupungua.
 
Noja nikajaribu, ila ukwaju huumiza sana kwa wenye vidonda vya tumbo.
 
hapa hapanifai maana me nna abs za kutosha...
 
Hapana bado nakihitaji kitambi,ndio maana kila siku nafanya juhudi kubwa kuhakikisha kinakuwa kikubwa kuliko maelezo na kuthibiti mbinu zozote zinazoelekea kukidhoofisha kitambi hiki.eehe mwenyezi mungu bariki kitambi changu ili siku ile ntakaposimamiswa kazi nipate ugonjwa wa watu wakubwa hata kama ni h.i.v. Ili nipate sifa kuu mbele za wale niliowahujumu kukinenepesha kitambi changu.

Siku utakapodondoka Kwa ugonjwa wa moyo, ama mapresha yasiyo na idadi. Ndiyo utajutia amuzi wako wa kufuga uchafu mwilini.
 
Back
Top Bottom