Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Dawa ya kuacha punyeto hii hapa
Nenda kwenye duka za asili nunua unga wa kibiriti upelele changanya na mafuta ya mizeituni, nunua chumvi ya mawe walau nusu.
Weka chumvi ya mawe kwenye maji usiku jitahidi usiogee bafuni, jitamwagie hayo maji yaenee mwilini pote...ukimaliza jifute Na taulo safi , nikisema taulo safi nadhani mnaelewa
Jipake mchanganyiko huo mwili mzima ( mzeituni Na kibiriti upele) endelea kwa siku 14.
Usipopona nenda daktari wa mgonjwa ya akili zaidi atakupa msaada zaidi...