Dawa ya kuacha punyeto hii hapa

Dawa ya kuacha punyeto hii hapa

Hiyo dawa yako inamfanya mtu awe hanisi au?.
 
Athari za punyeto kiafya hua
1. Addiction kurudia mara kwa mara na kua mrahibu
2. Premature ejaculation/ kuwahi kufika kileleni ata kabla ya tendo

3 ulegevu wa misuli w mashine
4 Athari kisaikolojia kwa kutohona thamani ya tendo kujamiana kwa mwanmke

Wale wa athari za kiroho/kimahusiano/ kiuchumi mnakaribishwa. Tuone kama hiki kitendo ni chema kwa vizazi vyetu

FAIDA
1. Imepunguza vvitendo viovu kama ubakaji, stori za flani kakamatwa ns mbuzi
2 imewasaidia wanaume ku focus na malengo yao/ self development
3 Imepunguza vitendo viouvu ksma mapenzi y jinsia 1, wazee wa LGBTQ community

Walio na faida zaidi mnakaribishwa. Ili tujue kitendo hiki ni kizurui

Nawasilisha.....
 
Narudia tena usipopona hapa muone daktari bingwa wa magonjwa wa akili
HIo tiba yako imefanyiwa utafiti na kuthibitishwa au ndo kuzua matatizo mengine kama uume ulio dinyaa muda wote.
Kwa vile umeipata tiba kwa wanaume. Tupe na ya wanawake? Huenda ukachangia kwenye ugunduzi wa kiafya
 
Back
Top Bottom