Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nyeto ni suala la saikolojia zaidi mtu yoyote akiwezq ku manage hilo basi ataweza kudhibiti hali hiyoDawa ya kuacha punyeto hii hapa .....nenda kwenye duka za asili nunua unga wa kibiriti upelele changanya Na mafuta ya mizeituni, nunua chumvi ya mawe walau nusu..weka chumvi ya mawe kwenye maji usiku jitahidi usiogee bafuni, jitamwagie hayo maji yaenee mwilini pote...ukimaliza jifute Na taulo Safi , nikisema taulo Safi nadhani mnaelewa ..jipake mchanganyiko huo mwili mzima ( mzeituni Na kibiriti upele) endelea kwa siku 14.....usipopona nenda daktari wa mgonjwa ya akili zaidi atakupa msaada zaidi...
Dawa ya kuacha "bakari nondo" ni kutafuta demu wa kuondoa upwiru.Dawa ya kuacha punyeto hii hapa
Nenda kwenye duka za asili nunua unga wa kibiriti upelele changanya na mafuta ya mizeituni, nunua chumvi ya mawe walau nusu.
Weka chumvi ya mawe kwenye maji usiku jitahidi usiogee bafuni, jitamwagie hayo maji yaenee mwilini pote...ukimaliza jifute Na taulo safi , nikisema taulo safi nadhani mnaelewa
Jipake mchanganyiko huo mwili mzima ( mzeituni Na kibiriti upele) endelea kwa siku 14.
Usipopona nenda daktari wa mgonjwa ya akili zaidi atakupa msaada zaidi...
Ni swala linalo hitaji sana matibabu ya akili (psychology) kuliko tiiba physicalDawa ya kuacha punyeto hii hapa
Nenda kwenye duka za asili nunua unga wa kibiriti upelele changanya na mafuta ya mizeituni, nunua chumvi ya mawe walau nusu.
Weka chumvi ya mawe kwenye maji usiku jitahidi usiogee bafuni, jitamwagie hayo maji yaenee mwilini pote...ukimaliza jifute Na taulo safi , nikisema taulo safi nadhani mnaelewa
Jipake mchanganyiko huo mwili mzima ( mzeituni Na kibiriti upele) endelea kwa siku 14.
Usipopona nenda daktari wa mgonjwa ya akili zaidi atakupa msaada zaidi...
Inaathari kisaikolojia, inapunguza bahati za kiroho (chakra) piga punyeto usiku kucha huku ukiangalia pornography za Ebony mystique Na Byron long, asubuhi nenda kaombe kazi, ukiipata hiyo kazi Basi bosi atakuwa ni baba yakoPunyeto ina shida gani??
Nyeto hurudisha akili yangu ktk hali ya msawazoDawa ya kuacha punyeto hii hapa
Nenda kwenye duka za asili nunua unga wa kibiriti upelele changanya na mafuta ya mizeituni, nunua chumvi ya mawe walau nusu.
Weka chumvi ya mawe kwenye maji usiku jitahidi usiogee bafuni, jitamwagie hayo maji yaenee mwilini pote...ukimaliza jifute Na taulo safi , nikisema taulo safi nadhani mnaelewa
Jipake mchanganyiko huo mwili mzima ( mzeituni Na kibiriti upele) endelea kwa siku 14.
Usipopona nenda daktari wa mgonjwa ya akili zaidi atakupa msaada zaidi...
wewe ndo huna akiliNarudia tena usipopona hapa muone daktari bingwa wa magonjwa wa akili
Jikite utafute mwanamke wa kua nae hata kama atakuwa mbovu wa sura Na umbo wewe shughulikia kile kilichoko katikati ya mapaja, zinaa Na nyeto ni vitu viwili tofautiNyeto hurudisha akili yangu ktk hali ya msawazo
Punyeto inaathiri vipi saikolojoa?Inaathari kisaikolojia, inapunguza bahati za kiroho (chakra) piga punyeto usiku kucha huku ukiangalia pornography za Ebony mystique Na Byron long, asubuhi nenda kaombe kazi, ukiipata hiyo kazi Basi bosi atakuwa ni baba yako
Punyeto ni salama zaidi kuliko kufanya mapenzi, pia punyeto ni kwa wanaume na wanawake.Kuacha punyeto ni kuoa tu.
Mambo mengine ni kujiendekeza. Uraibu tu.
Ukikosa self awareness and self control utaendeshwa na kuwa mtumwa hapa duniani..
Wanawake walivyo jaa hivi unapigaje punyeto? Udomo zege au nini?
Hili nalo hadi tuanze kuogea chumvi, hapana aisee!!! Ni matumizi mabaya ya chumvi
Kwahiyo huamini kama punyeto ina madhara?Punyeto inaathiri vipi saikolojoa?
Kuna watu wengi tu wanashinda wanasali usiku mzima wa kuamkia kuomba kazi na wanakosa kazi.
Kama ina athari kisaikolojia basi inatibika kisaikolojia pia. Sio kwa madawa ya kupaka au kuoga.Inaathari kisaikolojia, inapunguza bahati za kiroho (chakra) piga punyeto usiku kucha huku ukiangalia pornography za Ebony mystique Na Byron long, asubuhi nenda kaombe kazi, ukiipata hiyo kazi Basi bosi atakuwa ni baba yako
Punyeto haina madhara yoyote kwa afya, mambo mengine ni myths na stories tu za kuokoteza.Kwahiyo huamini kama punyeto ina madhara?