Athari za punyeto kiafya hua
1. Addiction kurudia mara kwa mara na kua mrahibu
2. Premature ejaculation/ kuwahi kufika kileleni ata kabla ya tendo
3 ulegevu wa misuli w mashine
4 Athari kisaikolojia kwa kutohona thamani ya tendo kujamiana kwa mwanmke
Wale wa athari za kiroho/kimahusiano/ kiuchumi mnakaribishwa. Tuone kama hiki kitendo ni chema kwa vizazi vyetu
FAIDA
1. Imepunguza vvitendo viovu kama ubakaji, stori za flani kakamatwa ns mbuzi
2 imewasaidia wanaume ku focus na malengo yao/ self development
3 Imepunguza vitendo viouvu ksma mapenzi y jinsia 1, wazee wa LGBTQ community
Walio na faida zaidi mnakaribishwa. Ili tujue kitendo hiki ni kizurui
Nawasilisha.....