Alinikwaza na mimi nilimkwaza ila hazikua sababu zenye mashiko kabisaa kufikia huku na kiupande wangu niliomba msamaha kwa pale nilipokosea tena mapema kabisa baada ya kuona nimemkosea...akawa km amekubali mara aniambie tuachane kuna siku akainsist sana nimuache nikajibu kiunyongr tu sawa maana sikua na jinsi baada ya siku mbili akanitafuta kutaka yaishe na alikosea nikamwambia its okay yameisha....ila tena ghafla hata siku mbili hazijapita ananiambia anaona bora aniache yaani inshort yupo km psycho kuna muda anakua sawa kuna muda anazingua mwisho wa siku ikafikia hapokei cm wala hajibu txts
Sitaki kuamini uyu jamaa ndio aliye vunja ( kukubikiri) maana tujuavyo wanawake huwapenda sana watu walio wafundisha mambo na wakisalitiwa huwa wanakua vicheche sana
Kuachwa au kukataliwa ni moja ya sehemu ya mahusiano wangapi walikupenda ukawakataa? Je unahisi walijiskiaje ila leo hii wamesimama na kiendelea na wako mbali wengine na ndoa
Your weakness is umeonesha unampenda sana na hauwezi move au ishi pasipo yeye sasa umekosea wanaume tukiisha jua. Flan ananipenda ndio tunakuendesha maana hauna plan B ya maisha tushajua
Ili uwese ku move on ni njia mbili
1. Usipende kaa pekeako jishughukishe sana , hudhuria makongamano ya dini, seminar za kibiashara, fanya evening and morning walk, mazoezi, refresh mind kwa kutembelea ndugu na marafiki ukipata experience ya vitu vipya
2. Sitisha kumpigia simu na kumtumia msg ni ngumu najua but if yah can manage for only 2 week bus jua utakua umeweza ku move on, futa picha zake kwenye simu yako, futa nmba zake , ondoa vitu vyake vyoye vitakavyo kupa kumbukumbu then weka nia moyoni kwamba Yes i can do it”
Haujawai fiwa na watu wa karibu yako? Watu waliofiwa wazazi au ndugu wa karibu wanajua ninacho ongea just imagine unaongea na mtu then unaambiwa kafariki tena alikua ni mtu wa karibu sana , so uwa tunasikitika tunalia sana na kuomboleza kwa muda fulani then tunasahau kua ilitokea na mwisho life goes on
NB. Usiende Pm za watu ovyo na kama ukiweka miadi ya kukutana na mtu jinsia tofauti angalia yasiwe mazingira hatarishi JF ni nyumba salama ukiwa uwanjani kwa wote kama hapa ila ukienda Pm jua its on your own risk usije ukashangaa unaliwa kimasihara na msaada usipate
Sent from my iPhone using JamiiForums