Mpe muda wa kujua umuhimu wako katika maisha yake.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Tatizo hajiamini mwenyewe ngoja nimpe siri ya mapenzi ilivyo na uchawi wake
1. Distance inauwa mapenzi ukatae ukubali ( mtasalitiana tu) mmoja wenu au wote inategemea na mazingira
2.Mkidumu kwenye mahusiano mda mrefu sana bila kuwa na kitu kinacho waunganisha jua pia mtaachn tu coz kunakuchokana , kumuona mtu yuko vile vile na kushushana thamani mfano wanaume uwahi mchoka mwanamke sana especially aliwa kaisha sex nae mara nyingi ndipo thamani ya mwanamke inashuka ili utengeneze thamani yako lazima uwe na msimamo usitumie sex as execuse ya kulinda penzi lako
3.watu wanazani kuchati chati sana au kupigiana simu kila baada ya dk 10 au 30 ndio mapenzi na kujaliana hapana, wanaofanya ivyo ni watu ambao hawajakua na hawana kazi ya kufanya na mazoea hujenga Tabia , kumjali mtu sio mawasiliano ya kila mara bali ni commitment ya mtu kwa mpenzi wake, utayari na kujitoa kwa jambo - au + yaweza isiwe kifedha ikawa kimawazo, kushawishi au kuliwadha
4. Ukimtafuta au mtumia msg mtu sana na kumpigia simu sana kichwani hanapata jibu kwamba uyu mtu ananipenda na hawezi niacha so kiburi kinazidi daima
Solution na wewe una mute kwa muda uone je uwa anakukumbuka au kukumis kama ndivyo niamini atakutafuta tu kama alikupenda kweli , maana ata kaa siku 3-4 asipoona simu wa msg atajiuliza whats happen sasa hapa lazima atakutafuta kwa njia nyingi mfano anaweza ingia whatsapp kuangalia kama upo online, umeweka status, anaingia mitandao yote ya kijamii kujua whats going on, wewe unaweza usijue chochote coz haumfatilii but trust me ana kufatilia pasipo kujua coz anataka ajue kipi kimekupa kiburi , wanawake wakifikia hapa sasa ndo uwa wanakosea wanaanza post vijembe unakuta wanakosea maana mwanaume anajua ohh kumbe uyu ni mswahili ivi sema alikua hajionyeshi
Just cool down endelea fanya yako kumrudisha mtu uyo atarudi mwenyewe maana atashangaa ghafla haumtafuti tena na siku zinaenda akicheki anaona unafuraha ( ulishawai skia mtu anakwambia asee nimekutana na X wangu kanawili balaa) unajua kwa nini before alikua hajali sana na kucare hakuon uziri wako kwa kua alikuzoea sana, tengeneza thamani yako kwanza kwake.
5.Epuka mahusiano yanayopelekea kukaa sehemu moja kila mtu akae kivyake kuonan iwe ni kwa siku maalumu na ujifunze pia kutafuta sana kwa maan ukiwa na chako unacho msaidia mpenzi wako siku akikikosa lzm atakukumbuk tu
Sent from my iPhone using JamiiForums