Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

kagebby,

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Nilijipa huu moyo my dear ndio maana nikahama hadi ile sehemu lakini mamaangu mbona mimi hali inazidi kua mbaya kwangu? Yaani hadi napata depression mama[emoji24][emoji24]
 
Ndugu kwanza pole sana ila nikushauli kitu achana nae tafuta mwingine huyo atakusumbua sana kwa sababu anajuwa unampenda sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani nimejaribu mno mno sasa sijui kwa nini moyo wangu unakua mgumu nimetamani sana kumiachilia aende ila moyo umegoma kabisa mpk nahisi kuchanaganyikiwa
 
Kimbisa,

Boss hauli na kulala unaishi vp?
Anyway mapenzi ni upofu jaribu kwenda kwa mzee wa kanisa mpate maneno yake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Boss hauli na kulala unaishi vp?
Anyway mapenzi ni upofu jaribu kwenda kwa mzee wa kanisa mpate maneno yake


Sent from my iPhone using JamiiForums

Naweza itisha siku 3 nakunywa juice tu yaana chakula nashindwa kula kabisaa...kulala kowangu ni masaa machache mno na hata nikilala namuota yaani inshort nakua km naweweseka!
 
Dawa ninayo kuja pm fastaaa,
Nina mikoba ya ukoo...[emoji83][emoji84]
 
Alinikwaza na mimi nilimkwaza ila hazikua sababu zenye mashiko kabisaa kufikia huku na kiupande wangu niliomba msamaha kwa pale nilipokosea tena mapema kabisa baada ya kuona nimemkosea...akawa km amekubali mara aniambie tuachane kuna siku akainsist sana nimuache nikajibu kiunyongr tu sawa maana sikua na jinsi baada ya siku mbili akanitafuta kutaka yaishe na alikosea nikamwambia its okay yameisha....ila tena ghafla hata siku mbili hazijapita ananiambia anaona bora aniache yaani inshort yupo km psycho kuna muda anakua sawa kuna muda anazingua mwisho wa siku ikafikia hapokei cm wala hajibu txts

Sitaki kuamini uyu jamaa ndio aliye vunja ( kukubikiri) maana tujuavyo wanawake huwapenda sana watu walio wafundisha mambo na wakisalitiwa huwa wanakua vicheche sana
Kuachwa au kukataliwa ni moja ya sehemu ya mahusiano wangapi walikupenda ukawakataa? Je unahisi walijiskiaje ila leo hii wamesimama na kiendelea na wako mbali wengine na ndoa

Your weakness is umeonesha unampenda sana na hauwezi move au ishi pasipo yeye sasa umekosea wanaume tukiisha jua. Flan ananipenda ndio tunakuendesha maana hauna plan B ya maisha tushajua
Ili uwese ku move on ni njia mbili

1. Usipende kaa pekeako jishughukishe sana , hudhuria makongamano ya dini, seminar za kibiashara, fanya evening and morning walk, mazoezi, refresh mind kwa kutembelea ndugu na marafiki ukipata experience ya vitu vipya

2. Sitisha kumpigia simu na kumtumia msg ni ngumu najua but if yah can manage for only 2 week bus jua utakua umeweza ku move on, futa picha zake kwenye simu yako, futa nmba zake , ondoa vitu vyake vyoye vitakavyo kupa kumbukumbu then weka nia moyoni kwamba Yes i can do it”

Haujawai fiwa na watu wa karibu yako? Watu waliofiwa wazazi au ndugu wa karibu wanajua ninacho ongea just imagine unaongea na mtu then unaambiwa kafariki tena alikua ni mtu wa karibu sana , so uwa tunasikitika tunalia sana na kuomboleza kwa muda fulani then tunasahau kua ilitokea na mwisho life goes on

NB. Usiende Pm za watu ovyo na kama ukiweka miadi ya kukutana na mtu jinsia tofauti angalia yasiwe mazingira hatarishi JF ni nyumba salama ukiwa uwanjani kwa wote kama hapa ila ukienda Pm jua its on your own risk usije ukashangaa unaliwa kimasihara na msaada usipate


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpenzi wako wa mwanzo kabla ya huyo mliachana vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilimuacha poleole sababu kuna vitu niliona anavifanya halafu vinajirudia anaomba msamaha ila anarudia so nilijifunza ku move on pole pole nikiwa nae ...sasa kwa huyu imekua ghafla sana
 
denis fourplux,

Thanks for the advise a lot! Kuhusu kuliwa kimasihara wasahau kabisa sababu I know exactly what am doing labda wasije nipa namba za wataalamu wa uongo🤣
 
client3,

Hivi eeh🥺🥺 daah aisee basi Mungu anisaidie maana kila kunavyokucha naona km ndio nimetendewa hvy jana ndio maana nakua km nachanganyikiwa daah[emoji24][emoji24]
 
Hivi eeh[emoji3064][emoji3064] daah aisee basi Mungu anisaidie maana kila kunavyokucha naona km ndio nimetendewa hvy jana ndio maana nakua km nachanganyikiwa daah[emoji24][emoji24]
Pole Mkuu

$ There's clear light at the end of the Tannel $
 
Back
Top Bottom