Nilimuacha poleole sababu kuna vitu niliona anavifanya halafu vinajirudia anaomba msamaha ila anarudia so nilijifunza ku move on pole pole nikiwa nae ...sasa kwa huyu imekua ghafla sana
Pole Mkuu
$ There's clear light at the end of the Tannel $
Kwani we unacheyo gani kwenye chamahua nawashangaa sana wanaolalamika kuhusu mapenzi,
si muwe kama me mpiga nyeto, na nayafurahia maisha yangu.
Duuuh dada, una umri gani..... Kuna uhalisia kuwa mapenzi sio kila kitu mpaka yaongoze system zako zote za maisha.... Itategemea na umri wako ili nijue uzito wa tatizo lako, unaweza kuta penzi halihusu nyie tu, bali hadi third parties. Binafsi mm sijawahi pendwa hivyo na mdadaMimi ni ke kaka yangu naomba nikufate PM dada yako nakaribia kufa
Alinikwaza na mimi nilimkwaza ila hazikua sababu zenye mashiko kabisaa kufikia huku na kiupande wangu niliomba msamaha kwa pale nilipokosea tena mapema kabisa baada ya kuona nimemkosea...akawa km amekubali mara aniambie tuachane kuna siku akainsist sana nimuache nikajibu kiunyongr tu sawa maana sikua na jinsi baada ya siku mbili akanitafuta kutaka yaishe na alikosea nikamwambia its okay yameisha....ila tena ghafla hata siku mbili hazijapita ananiambia anaona bora aniache yaani inshort yupo km psycho kuna muda anakua sawa kuna muda anazingua mwisho wa siku ikafikia hapokei cm wala hajibu txts
Duuuh dada, una umri gani..... Kuna uhalisia kuwa mapenzi sio kila kitu mpaka yaongoze system zako zote za maisha.... Itategemea na umri wako ili nijue uzito wa tatizo lako, unaweza kuta penzi halihusu nyie tu, bali hadi third parties. Binafsi mm sijawahi pendwa hivyo na mdada
Sent using Jamii Forums mobile app
I feel you, ilinitokea na iliniharibu sana.Yaani we acha tu ndugu yangu!
Duh..kumbe ke, anyways hata wanaume wa hivyo tupo wangu, naelewa unachopitia aisee.Mimi ni ke dada ningekua na hizo nguvu za chapa nipote hivi mbona ningepumua! Sisi ndio wale mabozozo tukipenda tumependa
Duh..kumbe ke, anyways hata wanaume wa hivyo tupo wangu, naelewa unachopitia aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini hitaji la moyo wako?, mwenzio ndo ivo kala konaSerious sihitaji kuliwazwa ndugu yangu