Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

Dawa ya kumrudisha mpenzi, mume/mke mliyeachana inawezekana kweli?

Mimi ni ke kaka yangu naomba nikufate PM dada yako nakaribia kufa
Duuuh dada, una umri gani..... Kuna uhalisia kuwa mapenzi sio kila kitu mpaka yaongoze system zako zote za maisha.... Itategemea na umri wako ili nijue uzito wa tatizo lako, unaweza kuta penzi halihusu nyie tu, bali hadi third parties. Binafsi mm sijawahi pendwa hivyo na mdada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpenzi wako anafanana na mimi kihisia. Nadhani kunanjia flani ya ku handle watu wa aina yetu wala usijari tutakuelekeza japo hilo la waganga huwa linadunda sana juu yetu na usishangae ukilitumia tu mambo yakawa magumu zaidi
Alinikwaza na mimi nilimkwaza ila hazikua sababu zenye mashiko kabisaa kufikia huku na kiupande wangu niliomba msamaha kwa pale nilipokosea tena mapema kabisa baada ya kuona nimemkosea...akawa km amekubali mara aniambie tuachane kuna siku akainsist sana nimuache nikajibu kiunyongr tu sawa maana sikua na jinsi baada ya siku mbili akanitafuta kutaka yaishe na alikosea nikamwambia its okay yameisha....ila tena ghafla hata siku mbili hazijapita ananiambia anaona bora aniache yaani inshort yupo km psycho kuna muda anakua sawa kuna muda anazingua mwisho wa siku ikafikia hapokei cm wala hajibu txts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi kupitia hiyo hali, tena inawezekana zaidi yako maana nilimpenda sana, akawa akizingua tuu nashindwa nifanyaje lakin nikapata mtaalamu wa kumrudisha, baada ya siku 7 demu ananitafuta mwenyewe tena anaomba sana tuonane, nishawah kumrudsha X2 lakn mwisho wa sikunikamuacha aende, na kwasasa yeye ndio ananitafut san nadhan atakua ameshauona umuhimu wangu, anakua kama anajuta kunipoteza...


Mkuu huyo mtu yupo ila yupo dar kama hujapata solution nichek nikuunganishe nae, katika kitu nilichokiona huyo mganga kabobea ni hayo mambo ya kumvuta mtu, sikuamini kabisa kilichotokea, haya mambo yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh dada, una umri gani..... Kuna uhalisia kuwa mapenzi sio kila kitu mpaka yaongoze system zako zote za maisha.... Itategemea na umri wako ili nijue uzito wa tatizo lako, unaweza kuta penzi halihusu nyie tu, bali hadi third parties. Binafsi mm sijawahi pendwa hivyo na mdada

Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani hata huyo alionifanyia hv hajawahi jua upendo wa dhati niliokua nao juu yake mm kiumri si mdogo wala si mkubwa sana nipo kwenye middle 20's
 
Back
Top Bottom