Dullah2020
New Member
- Apr 24, 2020
- 2
- 7
Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Wenzio wakina Mbowe Sheini wanapaka piko Lemutuz kaamua kunyoa kipara ila ana mvi kama Lowasa vileWandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Dah mkuu me 20+ mvi kibao ww 40+ bado unalalamikaWandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
MKUU dawa yake ni kunyoa kipara,,,hakuna dawa nyingine ya mvi,,..Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Tumia hata picco mkuu inasaidia.Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Pico hapana.Tumia hata picco mkuu inasaidia.
Aseee!! Anza kupaka picco ukishindwa upambane na hali yako choko we!Wandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
Weza zazuu au picoWandugu naombeni dawa ya Kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.