Dawa ya kuondoa mvi kichwani

Dawa ya kuondoa mvi kichwani

Mathayo 5:36 BHN

Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
 
Mimi najua ukosefu wa vitamin b 5 ndo unaleta mvi mapema na protein hivyo Kama ukipata hiyo vit itazipunguza mvi, pia ipo kwenye mayai, unaweza kutumia mayai na maziwa. Zingatia kuacha sukari ili usinenepe wakati unatumia.
Mie nakula mayai mabich tangu nipo na 20+mpaka sasa nina30+ nina mvi balaaa...hiyo ni ukoo tu..dawa ni kutumia maganda ya viazi lkn uwe mvumilivu siyo jambo la siku moja
 
Kumbe uko 40s
Ukijipenda mbona they look good sana tu

kichwani upara
Fuga ndevu kiasi
 
Hio ina maana melanocytes zimeacha kuzalisha melanin(rangi nyeusi) kwenye hair follicles ndio maana weusi kwenye nywele haupo.

Tumia majani ya mpera,

Unachuma majani kama kumi hivi unaosha halafu unasaga kwenye blenda au unatwanga,
Baada ya hapo weka maji kijiko kimoja cha chai halafu chuja upate maji ya mpera

Pakaa kichwani na acha kwa saa 1,halafu osha.
Fanya mara 3 kwa wiki kwa mwezi mmoja utaona matokeo.
Feedback mtupe kwa aliye fanikiwa kupungua mvi kwa njia hi Nas tuanze
Maana mm tatizo la greyish hair limeanza nikiwa na 19 na saiz Niko around 20s
Kwa umri Hilo n tazto maan mvi unatakiwa uanz around 40s
 
Feedback mtupe kwa aliye fanikiwa kupungua mvi kwa njia hi Nas tuanze
Maana mm tatizo la greyish hair limeanza nikiwa na 19 na saiz Niko around 20s
Kwa umri Hilo n tazto maan mvi unatakiwa uanz around 40s
Tumuulize mleta mada,mi nilitoa uzoefu tu
 
Sasa hamtaki mvi na umri umesogea.. mnataka zimuote nani?
 
Lowassa maziwa kwake ni kama maji ni mfugaji kabisa achana na maziwa ya kununua sokoni ila mwangalie kichwani utapata jibu
Anakunywa ya ngombe hata mtoto mchanga haruhusiwi kutumia, tumia fomula yale ya kopo yanakuwa balance au protein shake kabisa, Kuna mpaka fomula za protein za melatonin, collagen, elastic zipo ukiwa na upungufu nazo unakunywa unakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom