Dawa ya kuondoa mvi kichwani

Dawa ya kuondoa mvi kichwani

Mimi nimekunywa maziwa toka utotoni lakin mvi zilianza kutoka nikiwa na miaka 19 tu.

Hapo tatizo nini ?
Mimi najua ukosefu wa vitamin b 5 ndo unaleta mvi mapema na protein hivyo Kama ukipata hiyo vit itazipunguza mvi, pia ipo kwenye mayai, unaweza kutumia mayai na maziwa. Zingatia kuacha sukari ili usinenepe wakati unatumia.
 
hata mimi zimejaa ..huwa naziangalia halfu naishia kusonya tu ..maanake hamna namna hapo....mvi ma...aamaye kabisa...ndo kwa kwanza nipo kwenye early 30s
 
Hio ina maana melanocytes zimeacha kuzalisha melanin(rangi nyeusi) kwenye hair follicles ndio maana weusi kwenye nywele haupo.

Tumia majani ya mpera,

Unachuma majani kama kumi hivi unaosha halafu unasaga kwenye blenda au unatwanga,
Baada ya hapo weka maji kijiko kimoja cha chai halafu chuja upate maji ya mpera

Pakaa kichwani na acha kwa saa 1,halafu osha.
Fanya mara 3 kwa wiki kwa mwezi mmoja utaona matokeo.
 
Mwamba hii kitu ni siriaz?
 
Mwamba hii kitu ni siriaz?
Hii kitu ni siriaz mkuu maana mimi niliona maza akifanya hivi na nywele zilirudia weusi ila badae akawa mvivu hakuendelea,

Wakati anapaka namimi nilijaribu kama mara mbili baada ya kunyoa,pamoja na kwamba sina mvi ila nywele ziliongezeka weusi

Unaweza kutafuta google na Youtube utaona .
 
Back
Top Bottom