Kama ni mtoto wa kike, boresha usafi wake na epuka kumvalisha pampers. Most likely anasumbuliwa na UTI za mara kwa mara.Mtoto wangu miaka(4) alipatwa na homa mwaka Juzi 2021 mwez wa 11. Joto ilikuwa juu sana mpaka ikamsababishia dalili za degedege kutokwa na povu mdogo.
Tulimpa Panadol kushusha homa na kumkimbiza hospitali ikaonekana ana infection kwenye damu akapatiwa dawa akapona. Mwezi ulioisha tena alipata kihoma fulani joto likapanda ikamtokea tena hii kitu. Je shida nini
Tatizo limejirudia mwez ulioisha Jan 2022 ni kama mwaka umeisha sasa hajapatwa na tatizo kama hilo tena.
Dawa gani nitumie asipatwe na hili tatizo...
Kumbe hizi pampers zinasababisha uti mkuu, nilikuwa sijui hili, binti yangu kila siku ni lazima alale na hayo makituKama ni mtoto wa kike, boresha usafi wake na epuka kumvalisha pampers. Most likely anasumbuliwa na UTI za mara kwa mara.
Kama ni kidume, mfanyie tohara haraka. Inasaidia kupunguza maambukizi ya UTI kwa watoto.
Haina ukweli wowote mkuuKumbe hizi pampers zinasababisha uti mkuu, nilikuwa sijui hili, binti yangu kila siku ni lazima alale na hayo makitu