Dawa ya kuongeza uzalishaj mbegu za kiume

Wee kweli yaani unampa maelezo nusu nusu ukipata tatizo bahati mbaya huko uliko na ukashindwa kuingia jf si utamkwamisha jamaa
 
Tumia mbegu za maboga kwa kuzitafuna zikiwa mbichi kwa muda wa siku 25 mpaka 30. Kisha utakuja kunisimulia ndugu we mwenyewe utashangaa na kufurahi pamoja na mkeo. Asanteni.

Tafuna mbegu 150 mara 3 kwa siku
Jamaa si utamshibisha mbegu huyu??mbegu 150 x 3 kwa siku ni mbegu 450
450 x siku 30 =13500 kudaaaadeki
 
Tumia mbegu za maboga kwa kuzitafuna zikiwa mbichi kwa muda wa siku 25 mpaka 30. Kisha utakuja kunisimulia ndugu we mwenyewe utashangaa na kufurahi pamoja na mkeo. Asanteni.

Tafuna mbegu 150 mara 3 kwa siku
Hizo mbegu mbon jazpatikan cku hiz km Ww unajua zinapopatikan Naomba unielikeze
 
Korodan zipo na mzigo nakula fresh tu cna tatizo kweny nguvu za kiume
Nguvu za Kiume ni Tofauti na uzalishaji Wa Mbegu.. Dawa Ambazo utataikiwa Kuzipata Ni Kulingana na Tatizo lako la low Sperm Count.. unaweza kupewa Hormone za Kukuwezesha Kukuza Mbegu

Nenda Hospitali Kwa Daktar Bingwa Wa Kiume Utapata Ushauri zaidi
 
Pole sana kijana mwenzangu,hapa ndo tunapopata funzo la imani kijana kama we unahangaika kupata mtoto lkn mungu hajakujaalia lkn kuna lingine saa hii lipo bafuni linarusha tu masperm litre nzima
Inaweza ikawa kamasi tu haina uhai
 
Sawa ndugu nitafuat ushaur na itakua vizur ukinipa mawasiliano ya hiyo mzee wa kimasai maana ckuhiz ni utandawaz kukaambl c tatiz, hil tatiz linanikosh rah ya maisha mm na mke wangu
 
Tumia mbegu za maboga kwa kuzitafuna zikiwa mbichi kwa muda wa siku 25 mpaka 30. Kisha utakuja kunisimulia ndugu we mwenyewe utashangaa na kufurahi pamoja na mkeo. Asanteni.

Tafuna mbegu 150 mara 3 kwa siku
Duh
 
Nguvu za Kiume ni Tofauti na uzalishaji Wa Mbegu.. Dawa Ambazo utataikiwa Kuzipata Ni Kulingana na Tatizo lako la low Sperm Count.. unaweza kupewa Hormone za Kukuwezesha Kukuza Mbegu

Nenda Hospitali Kwa Daktar Bingwa Wa Kiume Utapata Ushauri zaidi
Ni meomba msaada wa kuelekezewa madaktat bigwa wa hayo matatiz .km unawajua Naomba msaada wako
 
Sawa ndugu nitafuat ushaur na itakua vizur ukinipa mawasiliano ya hiyo mzee wa kimasai maana ckuhiz ni utandawaz kukaambl c tatiz, hil tatiz linanikosh rah ya maisha mm na mke wangu
Mkuu kweli sikuchukua namba yake wakati ule na sidhani kama alikuwa na simu, ni mpaka niende Arusha.
 
Mkuu anza kupenda kutumia vyakula vya asili na matunda kwa wingi pamoja na kunywa maji mengi itakusaidia sana kuna mabadiliko utayaona!

-Nyerere-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…