Ilikuwa niku pm lakini nimeona nikuelekeze hapahapa na kama kuna wengine wana tatizo inaweza kuwasaidia pia.
Hii ni tiba ya asili.
Elewa kuwa process yake ni ya muda mrefu, inaweza ikachukuwa miezi mitatu mpaka mwaka, ila usikate tamaa na ufate maelekezo.
Anza kwa kunywa maji ya mdalasini kwa siku zisizopunguwa 45, glass moja kubwa kabla hujala kitu asubuhi, mchana kabla ya kula, usiku kabla ya kula, na usiku kabla ya kulala.
Kwa maana utakunywa glass 4 kwa siku.
Tuanzie na hiyo, baadae ntakuletea nini cha kufanya baada ya hapo.
Unikumbushe kupitia hapa hapa.