AsantMenu diet for you
Karanga mbichi x3 kwa wiki
Korosho x3 kwa wiki
Ugali dona x4 kwa wiki
Nyama ya mbuzi x3 kwa wiki
Ugali wa mtama +muhogo x2 kwa wiki
Parachichi x4 kwa wiki
Ndizi mbivu x3 kwa wiki
Mboga mboga za majani x7 kwa wiki
Mazoezi x3 kwa wiki, kimbia km 2 kwa cku
Kitimoto x1 kwa wiki
Tikiti maji x3 kwa wiki. tafuna mbegu yake
Kunywa lita 1 ya maji masafi kwa siku
EPUKA
Chips
Sambusa, mandazi, kababu
Ugali wa sembe
Tambi
SODA
BIA
Enegy drinks
and all junks food
Je umewahi kuumwa ugonjwa wa kuvimba na kuuma kwa korodani tangu ubalehe? (Hebu vuta kumbukumbu vizuri)Wadau waJF najua mara nyingi hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulana nina mwaka wa pili kwenye ndoa sijabahatika kupata mtoto
Niliwah kupima kipind cha mwaka 1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm, poor progressive, poor morphology. Sivut sigar na sielewi tatizo hili linasababishwa na nini .
Naomba msaada wa dawa na hospital ninayoweza kupata matibabu Asanten sana
Zipo kiasi gani?????Sperm ziko low .nshitaj ushaur ili ziwe normal km kuna dokt bingwa unaemjua au hat tiba mbadala muhim kwang ni kupat tiba ya tatizo
Cjawah kuumwa huo ugonjwaJe umewahi kuumwa ugonjwa wa kuvimba na kuuma kwa korodani tangu ubalehe? (Hebu vuta kumbukumbu vizuri)
OK sawZipo kiasi gani?????
Jaribu fertilaids for men
Pia tumia sana maca
Bila kusahau mussels, shrips nk kwani wana zink
Doesn't make sense you just eat balance dietWadau waJF najua mara nyingi hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulana nina mwaka wa pili kwenye ndoa sijabahatika kupata mtoto
Niliwah kupima kipind cha mwaka 1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm, poor progressive, poor morphology. Sivut sigar na sielewi tatizo hili linasababishwa na nini .
Naomba msaada wa dawa na hospital ninayoweza kupata matibabu Asanten sana
tiba ipo whatsvapp 0712505049 elfu 20Wadau waJF najua mara nyingi hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulana nina mwaka wa pili kwenye ndoa sijabahatika kupata mtoto
Niliwah kupima kipind cha mwaka 1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm, poor progressive, poor morphology. Sivut sigar na sielewi tatizo hili linasababishwa na nini .
Naomba msaada wa dawa na hospital ninayoweza kupata matibabu Asanten sana
Sawa naihitaj hio dawatiba ipo whatsvapp 0712505049 elfu 20
tiba ipo whatsvapp 0712505049 elfu 20
Sawa naihitaji hio dawatiba ipo whatsvapp 0712505049 elfu 20
Naihitaj hio dawatiba ipo whatsvapp 0712505049 elfu 20
ok sawaNaihitaj hio dawa
Njia ya kupata Mtoto wa Kiume kutumia siku 24 na 28MziziMkavu na tupatie pia elimu, mbinu, tiba etc.. ya kutungisha mtoto wa kiume....maana wengine tumetandika watoto wa kike wanne mfululizo.....
Mihogo mibichi si chakula sahihi kwa binadamuUtumie mlenda kwa wingi,madafu kwa wingi mihogo mibichi