Dawa ya kuongeza uzalishaj mbegu za kiume

Dawa ya kuongeza uzalishaj mbegu za kiume

Nenda kapime sperm count...kisha ukipata majibu mpeleke mwenzi wako akapimwe ba madaktari bingwa wa kike. its possiple ni kawaida mdau.
 
Nenda hosp tena naona michango inatiririka sasa mwisho utakula sumu bure.
Eg. Asalixtango= sumu
Ukiona mtu anakuja kuomba ushauri jamii forums ujue kazunguka sana hospital bila mafanikio
 
Nenda kapime sperm count...kisha ukipata majibu mpeleke mwenzi wako akapimwe ba madaktari bingwa wa kike. its possiple ni kawaida mdau.
Sperm ziko low .nshitaj ushaur ili ziwe normal km kuna dokt bingwa unaemjua au hat tiba mbadala muhim kwang ni kupat tiba ya tatizo
 
Asant San ila mm hua natumia chai ya mdalasin na tangawiz .Nitafuata ushaur wako.
Napokea ushaur wenu wadau hik kitu kinaninyim rah ya kuishi

Mdalasini tupu bila sukari, bila tangawizi. Maaji tu na mdalasini tena ikiwezekana uwe unauroweka bila kuchemsha.

Inatakiwa unywe kabla hujalaa kitu alfajiri na usile mpaka baada ya lisaa limoja au mawili. Hivyo hivyi mchana na usiku na wakati wa kulala hakikisha mlo wa mwisho umepita kama masaa mawili ndiyo mdalasini iwe kinywaji chako cha mwisho kabla ya kulala.
 
Nimesikia pia watu wanasema walitumia juice fulani zinaitwa trevo hasa waliokua na changamoto zanuzazi. Ila sina hakika jaribu kufuatilia vzr habari ya trevo
 
Wadau wa jf najua mara nying hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulan Nina mwak wa2 kweny ndoa cjabahatik mtoto niliwah kupima kipind ch mwak1 nyuma niliambia Nina tatiz la low sperm,poor progressive,poor morphology. Cvut cgar clewi .Naomba msaada wa daw na hospital inayoweza kupat matibabu Asanten sana
Wewe si Mvulana! Wewe ni mwanaume...JIAMINI!!! usifanye mapenzi mara kwa mara, walau mara 2 kwa wiki...pendelea kula karanga, korosho, Asali na amdalasini kwenye chai! Usifanye mapenzi siku 7-4 kabla ya mkeo kufika siku hatarishi (siku atakazokuwa na asilimia nyingi ya kupata mimba)...baada ya mapumziko hayo na ulaji wa hivyo vitu, fanya mapenzi katika siku hizo hatarishi!!! Suala la msingi zaidi RELAX...wakati upo kwenye tendo jiaminishe kuwa mbegu utakazomwaga siku hiyo zitaota! Hapo utakuwa umetibu tatizo la kimwili na kiakili...MIMI NAAMINI UWEZO UNAO, NAWE JIAMINI PIA!!!
 
Wewe si Mvulana! Wewe ni mwanaume...JIAMINI!!! usifanye mapenzi mara kwa mara, walau mara 2 kwa wiki...pendelea kula karanga, korosho, Asali na amdalasini kwenye chai! Usifanye mapenzi siku 7-4 kabla ya mkeo kufika siku hatarishi (siku atakazokuwa na asilimia nyingi ya kupata mimba)...baada ya mapumziko hayo na ulaji wa hivyo vitu, fanya mapenzi katika siku hizo hatarishi!!! Suala la msingi zaidi RELAX...wakati upo kwenye tendo jiaminishe kuwa mbegu utakazomwaga siku hiyo zitaota! Hapo utakuwa umetibu tatizo la kimwili na kuajiri...MIMI NAAMINI UWEZO UNAO, NAWE JIAMINI PIA!!!
Asant ndugu
 
Mkuu, mkabidhi Mungu tatizo lako. jua kuwa Kwa Mungu yote yanawezekana,. Hilo ni jaribu ambalo Mungu ameliruhusu ili kukufundisha kitu flani. Mungu anataka ajifunue kwako kupitia jaribu hilo.

Nenda katika Kanisa la WALIOOKOKA, (usiende kwa hawa wanaojiita mitume na nabii) ; kaa kitako na Mchungaji wa Kanisa hilo mweleze bila kuficha kitu, atakuelekeza ya kufanya. Nakuhakikishia Mungu Muumba mbingu na nchi atajitwalia utukufu wake.

Mimi binafsi nilikaa na ndoa miaka sita bila mtoto ila baadae Mungu akanonekania katika hilo maisha sasa ni burudani kabisa. Tafadhali usiseme kuwa "huoni thamani ya maisha" usimfungulie ibilisi milango. God bless brother, we are together.
 
Asant kk ,
 
Wee kweli ****** yaani unampa maelezo nusu nusu ukipata tatizo bahati mbaya huko uliko na ukashindwa kuingia jf si utamkwamisha jamaa

Tatizo la nini ewe ?

Atumie hiyo tiba alete mrejesho baada ya siku 45.
 
Kuna kitu kinaitwa macca powder kuna MTU alikua anatangaza kuuza hapa jf.. Ila ukiiona post hiyo tafuta na utumie. Haina madhara unaweza kuigoogle ukaiona mwenyewe. Nchini Peru wanakunywa hadi watoto Ina faida nyingi ikiwemo kuchochea hormones za kiume na kuongeza sperms count na pengine kutibu infertility
 
Tumia mbegu za maboga kwa kuzitafuna zikiwa mbichi kwa muda wa siku 25 mpaka 30. Kisha utakuja kunisimulia ndugu we mwenyewe utashangaa na kufurahi pamoja na mkeo. Asanteni.

Tafuna mbegu 150 mara 3 kwa siku
hii nayo nasikia ni shida mkuu
 
Back
Top Bottom