UnayafahamuSawa kaka
DCI Comrade One handeni tanga mkuuUko wapi
Kuna Dawa ya vidonda Mama yangu alipona kabisa hadi hv sasa haumwi tena.ila ni ya asiliDCI Comrade One handeni tanga mkuu
Unamix vyote kwa pamoja kwa kila nusu lita ya maziwaBIN NUN natumia kiasi gani je? nachanganya vyote pamoja au kidogokidogo? muongozo tafadhari
kwenye mchanganyiko huo, ongezea na maganda ya viazi mviringo baada ya kuyaosha vizuri. juice ya carrot, kabechi na maganda ya viazi mviringo ni dawaya kudumu,, kuanzia siku 3 hautahisi maumivu tenaMimi kilichonisaidia ni juice ya Cabbage! Yaan kama una wife mwambie asage mchanganyiko wa cabbage na carrot wa pamoja kisha achuje iache ikae siku tatu mahali pa joto kidogo ifanye fermentation , then chuja tena itie kwenye fridge kwa ajili ya matumizi ! Me niliambiwa ninywe kama dawa ila nikaifanya juice kabisa ina uchachu kwa kidogo we tengeneza kwa kadri utavyojaaliwa resources na kunywa upendavyo .
Mimi sijui vidonda vilipotelea wapi 🤣 yaan niliizingatia zile siku tatu za mwanzo tu sikusikia maumivu yeyote tena nikaiendeleza mpaka leo huwa naamua nakunywa.
Ila pia muhimu uende hospital kwa ajili ya matibabu ya H.Pylori maana hawa ndo chanzo cha kuleta vidonda kwenye ukuta wa tumbo ! Daktari atakwambia kwamba unao wadudu au huna kama huna maana yake kazi ya Cabbage ni kuongeza mucus kwenye ukuta wa tumbo na kusaidia digestion. Mapema tu unarudia hali yako.
Zingatia pia kula kwa wakati.
sasa kwanini usiweke hiyo dawa hapa?Dawa ninayo mkuu mpaka kupona na unabaki na ushuhuda ukimtukuza MUNGU,,,,,Maana mimi mwenyewe ni mhanga nilisumbuliwa na madonda kiasi Cha kuhisi labda nimerogwa kwa maumivu niliyokuwa nayapitia,,,,ilifikia wakati nikimeza tonge la ugali unasikia linapita kwenye kidonda upande wa kulia mwa ubavu,,,, MUNGU ni mwema alinikutanisha na mtu na ndo mwanzo kuijua dawa hiyo,,,maana nilitumia kila aina ya madawa,,,
MUNGU akupiganie mkuu nayaelewa maumivu ya vidonda vya tumbo.