Dawa ya kutibu vidonda vya tumbo au hata inayopunguza maumivu

Dawa ninayo mkuu mpaka kupona na unabaki na ushuhuda ukimtukuza MUNGU,,,,,Maana mimi mwenyewe ni mhanga nilisumbuliwa na madonda kiasi Cha kuhisi labda nimerogwa kwa maumivu niliyokuwa nayapitia,,,,ilifikia wakati nikimeza tonge la ugali unasikia linapita kwenye kidonda upande wa kulia mwa ubavu,,,, MUNGU ni mwema alinikutanisha na mtu na ndo mwanzo kuijua dawa hiyo,,,maana nilitumia kila aina ya madawa,,,
MUNGU akupiganie mkuu nayaelewa maumivu ya vidonda vya tumbo.

Share hiyo dawa hapa
 
Sikia mkuu nenda hospitali kwanza

Ila dawa ya vidonda Huwa ni Ile huitwa triple therapy
 
DM ya nini , share. Hapa Kila kitu

Wewe unaona mwenzako anaumwa unasema DM
Aje Dm mkuu though hawez nlipa na hii Kwa faida yake lengo nmpe mawasiliano yangu Kisha tuongee na nmpe go ahead brow
 
Watu kama nyie ni watu wabinafsi sana

Kama una lengo la kutoa msaada pasipo kujipatia Faida.

Unge share hapa hapa watu wakapata msaada
 
Ur correctly brow ila lengo anitafute Kisha aitumie yeye pasipo kunipa chochote then aje na mrejesho maana Kuna vtu ukiweka public sana wajinga wanaweza kuku-ignore na uka-missbehave bure
 
Watu kama nyie ni watu wabinafsi sana

Kama una lengo la kutoa msaada pasipo kujipatia Faida.

Unge share hapa hapa watu wakapata msaada
Ila Nina uhakika na ninachosema dawa zipo Tena sio za kisasa na hata gharama haizid elfu5 ila impact yake n zaid ya dawa za hospital
 
Msaada wenu wa haraka wakuu

Dawa ya kutibu vidonda vya tumbo au hata inayopunguza ya dharula muda huu tumbo wakuu msaada wenu wa comment
Ipo elf 35 ya kunywa ni uhakika 0712505049
 
pima kipimo cha endoscopy ili kujua ukubwa wa tatizo. Kwa mujibu wa tafiti mpya, H pylori siyo tatizo sana kama kemikali iitwayo histamine. kwa dawa za mimea tiba tuwasiliane kwa 0713 039 875. Pia zingatia elimu ya ulaji sahihi (Ketogenic-mfano kuondoa sukari na kupunguza wanga huku ukiongeza protein ) na mtindo wa maisha (kama kulala masaa 6, kufanya kazi ya kutoka jasho kwa siku, kupunguza stress)
 
Dawa ninayo mkuu mpaka kupona na unabaki na ushuhuda ukimtukuza MUNGU,,,,,Maana mimi mwenyewe ni mhanga nilisumbuliwa na madonda kiasi Cha kuhisi labda nimerogwa kwa maumivu niliyokuwa nayapitia,,,,ilifikia wakati nikimeza tonge la ugali unasikia linapita kwenye kidonda upande wa kulia mwa ubavu,,,, MUNGU ni mwema alinikutanisha na mtu na ndo mwanzo kuijua dawa hiyo,,,maana nilitumia kila aina ya madawa,,,
MUNGU akupiganie mkuu nayaelewa maumivu ya vidonda vya tumbo.
Mbona hujataja hiyo dawa sasa
 
Saga mbegu ya palachichi ianikie ndani inyauke na maji yake, changanya na tangawizi uwe unakunywa kama chai siku kuanzia 7 mpaka ujiskie poa hua huchukua mpaka siku 14 kupona utanishukuru
 
pima kipimo cha endoscopy ili kujua ukubwa wa tatizo. Kwa mujibu wa tafiti mpya, H pylori siyo tatizo sana kama kemikali iitwayo histamine. kwa dawa za mimea tiba tuwasiliane kwa 0713 039 875. Pia zingatia elimu ya ulaji sahihi (Ketogenic-mfano kuondoa sukari na kupunguza wanga huku ukiongeza protein ) na mtindo wa maisha (kama kulala masaa 6, kufanya kazi ya kutoka jasho kwa siku, kupunguza stress)
Nikimuona Dr Ndodi na kitambi chake ndio huwa naona unafki wa nyinyi Madaktare.

Mimi nimeuguwa vidonda vya tumbo nimepona nakula kila kitu tena pilipili ndio zaidi ya muhindi.

Kwa mtu ambaye hataki kuja kuteseka ma maradhi haya afanye Antioxidant mara kwa mara glasi ya maji kamulia lemon asubuhi na usiku kabla ya kulala.

Lemon ndio Anti desease, mtu yeyoye anayetumia Lemon kwa wingi mwili wake unakuwa na Alkaline nyingi kwahiyo ni ngumu sana mtu huyu kupata maradhi hovyohovyo.

Mungu ametupa kila kitu ila ni sisi wenyewe ndio tunashindwa kuvitumia.
 
Back
Top Bottom