Dawa ya kutibu vidonda vya tumbo au hata inayopunguza maumivu

Dawa ya kutibu vidonda vya tumbo au hata inayopunguza maumivu

Nikimuona Dr Ndodi na kitambi chake ndio huwa naona unafki wa nyinyi Madaktare.

Mimi nimeuguwa vidonda vya tumbo nimepona nakula kila kitu tena pilipili ndio zaidi ya muhindi.

Kwa mtu ambaye hataki kuja kuteseka ma maradhi haya afanye Antioxidant mara kwa mara glasi ya maji kamulia lemon asubuhi na usiku kabla ya kulala.

Lemon ndio Anti desease, mtu yeyoye anayetumia Lemon kwa wingi mwili wake unakuwa na Alkaline nyingi kwahiyo ni ngumu sana mtu huyu kupata maradhi hovyohovyo.

Mungu ametupa kila kitu ila ni sisi wenyewe ndio tunashindwa kuvitumia.
Matola, lemon ni ipi hiyo , mbona wanasema ukiwa na ulcers usitumie alkane na caffeine zinaviamsha??
 
Back
Top Bottom