Dawa ya kuzuia kutapika kwa mjamzito

Dawa ya kuzuia kutapika kwa mjamzito

Atumie Nosic asubuh mapema sana kabla hajala chochote
Pia tangawizi inasaidia sana
 
MPE pole jamani..Mie ilinishinda kila dawa. Nikachomwa sindano za mishipa wapi!!! Daah yule jamaa aliyegundua dripu mungu amtunze, ndio zilizoniokoa!

Hatuchekani kumbe, nilichomwa sindano za mishipa hadi basi, then nikaanza kuishi kwa dripu tu, nilitapika hadi mimba ina miezi sita.....sinaga hamu
 
Hyo nosic haizuii kutapika,inazuia wernickles encephalopathy,dawa nzuri ni promethazine and iv fluids ili Ku replace fluid loss,proper feeding kuepusha malnutrition and under weight kwa mtoto
Dr mie alirecommend nitumie izo na zilinisaidia
 
Kama mna dawa zenu za kienyej sawa. . Ukitaka iishe ni Tabs : promethazine .. pia ina sindano promethazine injections ambayo unaweza tumika kama drip ( Iv) .

Ni vizur kwnye hospital kuna condition inayo wapata wajawzito wachache ya kutapika kuliko pitiliza ni vizur Dr akuone pia epuka kubeba kila ushauri huku naku tumia kila dawa mimba ikiwa kwnye first trimester(

NOTE: Dawa ni hiyo hiya promethazine ata hospital. Japo kuna pedzinc ( pediatric zinc) hii tunawapaga watoto sanasana japo pia ina leta mafanikio chanya kwa watu wazima.

Na wasilisha.
 
Hivi inakuwaga nn mjamzito anakojoa kwa usk mara 17 mkuu?
 
Back
Top Bottom