Dawa ya Malaria aina ya Mseto inakera

Dawa ya Malaria aina ya Mseto inakera

Hivi wataalam wa pharmacy hamuwezi jamani kutufanyia kitu kwenye hii dawa? nakunywa tu nisife, harufu mbaya, ladha mbaya. Kila nikiwa nataka kunywa nahisi kutapika.

Hebu wataalamu njooni hapa kama kuna namna ya kufanya kwenye hii dawa mtusaidie!
iwekewe ladha ya machungwa ?.meza dawa lazima uteseke kidogo usikae kizembe zembe
 
Aisee nakuelewa, Mimi nilikatisha dozi, mavidonge manne halafu, harufu mbaya, yanachosha ukinywa unaanza upya kuumwa aisee mseto sio poa.ilibidi nibadilishe dawa nikanywa artequick.
Mseto hauvumiliki!! Zamani nilikua nakunywa dawa nyingine nyingine kwajili ya malaria ila nyingi zina sulfur ambayo nina allergy nayo!
 
Kua smart. Nenda kanunue ile mpya ambayo unakula kidonge moja badala ya 4.
Usixhojua kuhus mseto n kuwa haina hangover.
Hizo madawa zingine utameza fresh lkn hangover yake utatubu
Yes ni nzuri sema baadhi ya maduka ya dawa hawaiweki!
 
Kua smart. Nenda kanunue ile mpya ambayo unakula kidonge moja badala ya 4.
Usixhojua kuhus mseto n kuwa haina hangover.
Hizo madawa zingine utameza fresh lkn hangover yake utatubu
Mseto lazima ikukandamize uugue upya kama siku mbili kisha ndo unaanza kupata nafuu.
 
Back
Top Bottom