Dawa ya Moto ni Moto tu, Yeyote Anayetaka Kuhatarisha Usalama wa Nchi Shughulika Nao

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.

Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?

Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
 
Hujielewi wewe
 
Waanze na yule Amos hakutakiwa kuwa mtaani sasa hivi ilibidi awe lupango atuelezee hizo Ebola na Mpox ameshirikiana na nani kuzileta
 
Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.

Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?

Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
Hii ni wake up call Kwa serikali si kujilinda dhidi ya uasi bali malalamiko na hoja za watanzania zisikilizwe. Dictator hautakiwi.
 
Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.

Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?

Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
 
Attachments

  • 6026553-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
Mnatajataja uasi kama ni jambo zuri sana ... acheni hizo stori... na of course uasi hata ukitaka kutokea unatokea tu ...
 
Screenshot_20250410_180617_X.jpg
Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.

Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?

Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
20250401_085251.jpg
20250323_112556.jpg
Screenshot_20250409_170157_X.jpg

Hawa wote wameshughulikiwa?
 
Attachments

  • Screenshot_20250411_035715_TikTok.jpg
    Screenshot_20250411_035715_TikTok.jpg
    186 KB · Views: 29
Mnatajataja uasi kama ni jambo zuri sana ... acheni hizo stori... na of course uasi hata ukitaka kutokea unatokea tu ...
Wamuanze muasi Amos mboni wanamuacha anadunda wakati anahatarisha usalama wa Nchi
 
Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.

Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?

Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
Hii nzuri, hao ni vibaraka mpk Samia anajuta kuwarudisha, kwl kunguru wa Pemba hafugiki
 
Mnatajataja uasi kama ni jambo zuri sana ... acheni hizo stori... na of course uasi hata ukitaka kutokea unatokea tu ...

Hizi takataka za fomfoo hazijui maana ya uasi ndo maana zitaoa uharo tu kwenye mitandao, tulioshudia uashi wa 1982 tunaombea hii kitu isitokee na tunahofia hata kutamka tu hili neno hawa nguruwe wanatamka kama wapo riverside wananunua uchi! Tuliopoteza ndugu na jamaa enzi za mwalimu, wakati viongozi wana akili tuna adabu kutamka hili neno!
 
Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.

Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?

Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
Naunga mkono hoja yako.Sisi tusio na pakwenda,tutakwenda wapi.
 
Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.

Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?

Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
CCM ndio wa kwanza kunahatarisha usalama wa nchi kwa ugumu wa maisha, wizi na ufisadi, na kusababisha umasikini kwa Watanzania.
 
Back
Top Bottom