mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Hawajui wanachoongea ile ikitokea halafu ika backfire moto wake unawachoma mpaka na wasio husika... yaani ni shida sana hawa jamaa .Hizi takataka za fomfoo hazijui maana ya uasi ndo maana zitaoa uharo tu kwenye mitandao, tulioshudia uashi wa 1982 tunaombea hii kitu isitokee na tunahofia hata kutamka tu hili neno hawa nguruwe wanatamka kama wapo riverside wananunua uchi! Tuliopoteza ndugu na jamaa enzi za mwalimu, wakati viongozi wana akili tuna adabu kutamka hili neno!