Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Hujielewi weweWengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.
Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?
Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
Hii ni wake up call Kwa serikali si kujilinda dhidi ya uasi bali malalamiko na hoja za watanzania zisikilizwe. Dictator hautakiwi.Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.
Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?
Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.

Wamuanze muasi Amos mboni wanamuacha anadunda wakati anahatarisha usalama wa NchiMnatajataja uasi kama ni jambo zuri sana ... acheni hizo stori... na of course uasi hata ukitaka kutokea unatokea tu ...
Hii nzuri, hao ni vibaraka mpk Samia anajuta kuwarudisha, kwl kunguru wa Pemba hafugikiWengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.
Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?
Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
Amos anapata wapi nguvu ya kuhatarisha usalama wa Nchi kwa tuhuma za uongo?Hii nzuri, hao ni vibaraka mpk Samia anajuta kuwarudisha, kwl kunguru wa Pemba hafugiki
Mnatajataja uasi kama ni jambo zuri sana ... acheni hizo stori... na of course uasi hata ukitaka kutokea unatokea tu ...
Naunga mkono hoja yako.Sisi tusio na pakwenda,tutakwenda wapi.Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.
Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?
Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
CCM ndio wa kwanza kunahatarisha usalama wa nchi kwa ugumu wa maisha, wizi na ufisadi, na kusababisha umasikini kwa Watanzania.Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.