Hawajui wanachoongea ile ikitokea halafu ika backfire moto wake unawachoma mpaka na wasio husika... yaani ni shida sana hawa jamaa .Hizi takataka za fomfoo hazijui maana ya uasi ndo maana zitaoa uharo tu kwenye mitandao, tulioshudia uashi wa 1982 tunaombea hii kitu isitokee na tunahofia hata kutamka tu hili neno hawa nguruwe wanatamka kama wapo riverside wananunua uchi! Tuliopoteza ndugu na jamaa enzi za mwalimu, wakati viongozi wana akili tuna adabu kutamka hili neno!
Ww ni mtu mbinafsi sana na mwenye roho mbaya. Hufikiri vizazi vijavyo na hata kizazi chako pia. Pole sana kwa kuwa na umaskini wa akili.Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada.
Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda Kenya? NItaenda Zambia?
Mimi naunga mkono kushughulika na wahuni wote wanaotaka kutupeleka siko ndani ya nchi hii.
Hahaaa kama namuona mbowe baba wa watu hata bayaHizi takataka za fomfoo hazijui maana ya uasi ndo maana zitaoa uharo tu kwenye mitandao, tulioshudia uashi wa 1982 tunaombea hii kitu isitokee na tunahofia hata kutamka tu hili neno hawa nguruwe wanatamka kama wapo riverside wananunua uchi! Tuliopoteza ndugu na jamaa enzi za mwalimu, wakati viongozi wana akili tuna adabu kutamka hili neno!