Solution yako ndio hiyo hiyo inaitwa msimamo, muonyeshe you dont like it and she can go anytimeBaada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3
Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa watu usema kuwa mke na mtii mume wake ukiingia katika ndoa inawezekana utii uo ukauona miezi miwili mpaka miaka miwili ya ndoa yako baada ya hapo ni vita juu ya vita kila mmoja anataka kutawala mwenzake
Na hapa ndipo unatakiwa kuonyesha udume wako sasa kuwa wewe ni mwanaume unatakiwa uheshimiwe
Na njia ya kuonyesha udume wako onyesha kuwa uko tayari kumuacha
Kununa , kufoka hakuwezi kumtuliza mwanamke jeuri
Kumchukulia mke wa pili hakuwezi kumtuliza mwanamke akianza jeuri yake kuna uwezekano yeye akakuletea mtoto ambaye sio wako katika ndoa
DAWA YA MWANAMKE AKIANZA JEURI
Muonyesha kuwa uko tayari kuachana naye Any time tu basi ndo dawa iyo muache aende ili akapate atakaye muheshimia kuliko wewe
NOMA SANA.Ila ndoa bwana
Humo ndipo mnapojifichia..apewe nauli na hela ya lunch hata kama ana kazi ili pesa zake ye akahonge sio?Mleta mada hivi unajua wanawake wana moods kutokana na mabadiliko ya hormones mara kwa mara?
Hormones zikiwa balanced mwanamke anakuwa normal, energetic, sober, loving, caring lakini hormone zisipokuwa balanced anakuwa na kisirani, mahasira, lugha chafu etc.
Ngoja nikupe akili sasa za kudeal.na mwanamke
1. Mpe tendo vizuri mpaka aridhike, mwanamke akiridhika hufanya hormone za upendo mwilini mwake ziitwazo oxytocin hormone kujaa. Hapa mwananke si tu kwamba atakupenda bali atakuheshimu
2. Kuwa kiongozi ndani ya nyumba, na kiongozi wa kweli hashindani na wa chini yake bali anaonyesha maturity, toa miongozo mizuri, mwanamke akiona uongozi ndani yako atakuheshimu. Acha kujali maneno maneno ya mwanamke, hao viumbe lazima waseme, ndivyo walivyoumbwa.
2. Provide for the family, lipia watoto ada, acha hela ya chakula nyumbani, mpe mke wako nauli ya kazini na lunch hata kama na yeye ana kazi, endelea kumnunulia nguo, chupi, na mahitaji mengine hata kama naye ana hela zak
Umejaribu kuandika notes za theory. Practically ni tofauti mnoMleta mada hivi unajua wanawake wana moods kutokana na mabadiliko ya hormones mara kwa mara?
Hormones zikiwa balanced mwanamke anakuwa normal, energetic, sober, loving, caring lakini hormone zisipokuwa balanced anakuwa na kisirani, mahasira, lugha chafu etc.
Ngoja nikupe akili sasa za kudeal.na mwanamke
1. Mpe tendo vizuri mpaka aridhike, mwanamke akiridhika hufanya hormone za upendo mwilini mwake ziitwazo oxytocin hormone kujaa. Hapa mwananke si tu kwamba atakupenda bali atakuheshimu
2. Kuwa kiongozi ndani ya nyumba, na kiongozi wa kweli hashindani na wa chini yake bali anaonyesha maturity, toa miongozo mizuri, mwanamke akiona uongozi ndani yako atakuheshimu. Acha kujali maneno maneno ya mwanamke, hao viumbe lazima waseme, ndivyo walivyoumbwa.
2. Provide for the family, lipia watoto ada, acha hela ya chakula nyumbani, mpe mke wako nauli ya kazini na lunch hata kama na yeye ana kazi, endelea kumnunulia nguo, chupi, na mahitaji mengine hata kama naye ana hela zak
HAhahaha....akahonge na yeye tena?Humo ndipo mnapojifichia..apewe nauli na hela ya lunch hata kama ana kazi ili pesa zake ye akahonge sio?
Mleta mada hivi unajua wanawake wana moods kutokana na mabadiliko ya hormones mara kwa mara?

Umejaribu kuandika notes za theory. Practically ni tofauti mno