Dawa ya mwanamke akianza ujeuri katika ndoa

Mkuu, haya yote Dr Mwaka alikuwa anayafundisha kwenye television na maredio, na mitandao ya kijamii lakini bado nanga ilipaa. Mandela aliweza kuishi jela miaka 27 lakini alishindwa kuishi na yule bi mkubwa. Ukisoma mtandao wa Pew research centre nchini marekani watu wanaoishi bila ndoa wanaongezeka kwa kasi ya Aston Martin kuliko wenye ndoa hapo hujasoma taarifa za Rita kuhusu ndoa zilizovunjika ndani ya miaka mitatu iliyopita hapa kwa kwenye nchi ya chief hangaya. Unaweza kuwa na elimu ya kumuhudumia mwanamke kama masanja lakini bado wahuni sio watu wazuri. Kuna mtu mmoja alisema "kadiri unavyomsogelea mwanamke ndivyo anavyozidi kwenda mbali" mwingine alisema " hata wanawake wenyewe hawajui wanataka nini" mimi nasema tafuta hela yako kaa kwa kutulia kula vizuri, vaa vizuri, endesha gari zuri. Mwanamke akija oa lakini mkishindwana basi nendeni kwa amani.
 
Maelezo ya mwisho yazingatiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…