Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Dawa ya nguvu za kiume + performance kula nusu tikiti maji kama 30 min before kipyenga
Wife alisha jua siku akija na tikiti huwa ananionyesha kwa kidole kimya kimya halafu mimi namkonyeza! Watoto wasishtukie
 
Haujafafanua mkuu, unachanganya pamoja au unakula kimojakimoja vikachanganyikie tumboni?!

Mkuu Mportugal a.k.a Mreno hilo li Avatar lako mbona linatishia usalama wa watu wengine. Oohhhh JF noma, usiku mwema
 
Last edited by a moderator:
Mara kwa mara imekuwa ni kuisikia vitunguu swaumu lkn leo ndo mara ya kwanza kusikia vitunguu maji. Ndo maana Isaac ndodi kila kitu alikuwa anasema ni dawa, sijui yuko wapi siku hizi hasikiki
 
Mara kwa mara imekuwa ni kuisikia vitunguu swaumu lkn leo ndo mara ya kwanza kusikia vitunguu maji. Ndo maana Isaac ndodi kila kitu alikuwa anasema ni dawa, sijui yuko wapi siku hizi hasikiki

fanya nayo kuelekeza mkuu hivyo wamefanya sana watu hadi leo wanalia ndio maana naokoa hapa jahazi bila malipo!
 
Athari za kukimbia masomo ya science hazifichiki..Unaijua projectile yenye distance ya mita tatu wewe..?
 
Je hata kwa mademu wanaweza tumia ?au ni kwa ajili ya mameni tu?
 
hii ni noma let's try
 
Athari za kukimbia masomo ya science hazifichiki..Unaijua projectile yenye distance ya mita tatu wewe..?

Usijitie umesoma sana? wala mkojo hauwezi kuwa projected! hiyo Advanced physics ulio-kalili isikufanye udharau kila mtu humu tena subtopic inakufanya uropoke mengi humu! be smart unapoongea na mtu usiyemfahamu!!!!!!
 
Athari za kukimbia masomo ya science hazifichiki..Unaijua projectile yenye distance ya mita tatu wewe..?

Science uliyo soma wewe ni ipi sasa? umefanya innovation gani hapa nchini! acha dharau, akili ya mnywa gongo hiyo mkuu!
 
nyingine hii magadi +unga wa soda +amira
tupia kisha lete mlejesho
 
Mtaalam mwenyewe bado anakibao cha Learner(L).

Vitunguu maji +Siagi +Asali = ____

Unavifanyaje sasa?
1-Kujichua navyo.
2-Kutafuna.
3-Kutwanga Kisha kumix kwenye
maji ya kuoga.
4-Kujifukiza.

Hebu nyoosha maelezo ueleweke mkuu!

Mbombo ngavu...
 
Me natafuta yakupunguza nguvu mkuu kama ipo.
 
Athari za kukimbia masomo ya science hazifichiki..Unaijua projectile yenye distance ya mita tatu wewe..?

Hiyo distance unayo zungumza ni ipi sasa? Horizontal distance au vertical distance na nani kakwambia kila mkojo huwa unatengeneza projectile path!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…