Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole ndugu sijui upo mkoa gani Tanzania. Hiyo ni gesi na pia maziwa yako mazito mfumo wa mmeng'enyo wa mtoto unashindwa kusaga. Kama upo dar fika kariakoo mtaa wa sikukuu uliza kwa dokta koya atampima watakupa dawa ila mara nyingi inakuwaga gesi hiyo so fika hospitali au duka la dawa waambie wakupe dawa ya gesi ya mtoto
Mchanga. Sikumbuki jina ila ni ya matone ukishamuwekea basi hatasumbua tena. Unampa asubuhi, mchana na jioni yaani kila baada ya saa nane. Nakumbuka duka moja kubwa kona ya kwa zizi ali kama unakunja kwenda temeke upande wa kulia hapo kuna duka kubwa marufu hapo ndo hiyo dawa ipo. Ukisema tu dalili watakupa dawa.
Pole, jaribu infacol inauzwa kwenye maduka ya dawa. Worked wonders with my kids.
chango? wa kike wa kiume? around kitovu?

wa kike mkuu. yan inakua gesi inajaa tumboni pale mtoto anaponyonya maziwa ya mama
chukua maji ya uvuguvugu weka chumvi na sukari kdg alaf koroga mpe vijiko viwili.hakikisha maji yamechemka sana yawe saf na salama.
Mkuu, hiyo dawa ni kwa watoto wa umri gani?..
wa kwangu ana wiki mbili sasa, na nahisi nae tumbo hujaa gesi...anapata shida sana kwenye kulala....huwa anastukastuka, na hata namna ya kupumua ni shida pia!!
msaada wako mkuu ni muhimu sana.....