Dawa ya tumbo la chango kwa watoto wachanga

Dawa ya tumbo la chango kwa watoto wachanga

christmas

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
2,701
Reaction score
1,280
Wakuu tafadhali naomba msaada kwa mwenye kufahamu dawa ya tumbo la chango kwa watoto wachanga mwanangu anaumwa usiku hatulali na mchana ndio kabisa utamwonea huruma.

Asanteni.
 
Pole ndugu sijui upo mkoa gani Tanzania. Hiyo ni gesi na pia maziwa yako mazito mfumo wa mmeng'enyo wa mtoto unashindwa kusaga. Kama upo dar fika kariakoo mtaa wa sikukuu uliza kwa dokta koya atampima watakupa dawa ila mara nyingi inakuwaga gesi hiyo so fika hospitali au duka la dawa waambie wakupe dawa ya gesi ya mtoto.

Mchanga. Sikumbuki jina ila ni ya matone ukishamuwekea basi hatasumbua tena. Unampa asubuhi, mchana na jioni yaani kila baada ya saa nane. Nakumbuka duka moja kubwa kona ya kwa zizi ali kama unakunja kwenda temeke upande wa kulia hapo kuna duka kubwa marufu hapo ndo hiyo dawa ipo. Ukisema tu dalili watakupa dawa.
 
Aisee tafuta seven seaz ni dawa nzuri sana imesaidia sana wanangu japo inanuka samak hatari!
 
Pole ndugu sijui upo mkoa gani Tanzania. Hiyo ni gesi na pia maziwa yako mazito mfumo wa mmeng'enyo wa mtoto unashindwa kusaga. Kama upo dar fika kariakoo mtaa wa sikukuu uliza kwa dokta koya atampima watakupa dawa ila mara nyingi inakuwaga gesi hiyo so fika hospitali au duka la dawa waambie wakupe dawa ya gesi ya mtoto
Mchanga. Sikumbuki jina ila ni ya matone ukishamuwekea basi hatasumbua tena. Unampa asubuhi, mchana na jioni yaani kila baada ya saa nane. Nakumbuka duka moja kubwa kona ya kwa zizi ali kama unakunja kwenda temeke upande wa kulia hapo kuna duka kubwa marufu hapo ndo hiyo dawa ipo. Ukisema tu dalili watakupa dawa.

maziwa mazito sababu ni nini
 
chukua maji ya uvuguvugu weka chumvi na sukari kdg alaf koroga mpe vijiko viwili.hakikisha maji yamechemka sana yawe saf na salama.
 
Pole ndugu. Fanya hivi, gandisha maziwa halafu utikise taratibu kutengeneza Samli. Chuja mafuta hayo na uchanganye na maji masafi na salama ili kutoa ule umaziwa. Kama vipi nitafute 0719103278
 
Chango ndio nini?achana na imani potofu,peleka kwa daktari
 
Pole ndugu sijui upo mkoa gani Tanzania. Hiyo ni gesi na pia maziwa yako mazito mfumo wa mmeng'enyo wa mtoto unashindwa kusaga. Kama upo dar fika kariakoo mtaa wa sikukuu uliza kwa dokta koya atampima watakupa dawa ila mara nyingi inakuwaga gesi hiyo so fika hospitali au duka la dawa waambie wakupe dawa ya gesi ya mtoto
Mchanga. Sikumbuki jina ila ni ya matone ukishamuwekea basi hatasumbua tena. Unampa asubuhi, mchana na jioni yaani kila baada ya saa nane. Nakumbuka duka moja kubwa kona ya kwa zizi ali kama unakunja kwenda temeke upande wa kulia hapo kuna duka kubwa marufu hapo ndo hiyo dawa ipo. Ukisema tu dalili watakupa dawa.

yanaitwa gripe water kama sijakosea.
 
polen sana...mama ajitahidi kumcheulisha mtoto kila anaponyonya..kisha awe anamlaza kwa tumbo hasa mchana hii husaidia gesi kuika tumbon na hataumwa tena.
mim nina watoto mapacha wa kike ndugu walivyofikisha miez 3 niliwapa mafuta ya maziwa yaani siagi vijiko vya chai 4 kwa siku 2 hii ilisaidia kusafisha tumbo na kulainisha tumbo pia ambapo mmeng'enyo unakua rahis na hakuna gesi inayokaa sikuwahi kuwapa dawa yeyote wala sikuwah kuona hilo chango.zingatia hili utayaona manufaa.hayo madawa ya hosp yanatibu kwa muda tu lakin ya kutibu milele ndo hiyo.
 
Pole, jaribu infacol inauzwa kwenye maduka ya dawa. Worked wonders with my kids.

Mkuu, hiyo dawa ni kwa watoto wa umri gani?..

wa kwangu ana wiki mbili sasa, na nahisi nae tumbo hujaa gesi...anapata shida sana kwenye kulala....huwa anastukastuka, na hata namna ya kupumua ni shida pia!!

msaada wako mkuu ni muhimu sana.....
 
wa kike mkuu. yan inakua gesi inajaa tumboni pale mtoto anaponyonya maziwa ya mama

Tatizo hilo linampata mtoto wangu kwa sasa...na ana wiki mbili tu....tangu azaliwe....nisaidie njia ama dawa ulotumia na ikamponya mtoto wako....

natanguliza shukrani mkuu.
 
chukua maji ya uvuguvugu weka chumvi na sukari kdg alaf koroga mpe vijiko viwili.hakikisha maji yamechemka sana yawe saf na salama.

Mkuu ngoja nami nijaribu hii njia.....mwanangu anahangaika sana......
 
Home page pitia hii link
Inaweza kutumika tangu mtoto amezaliwa, shida ya kupumua nakushauri utafute ushauri kwa wataalamu.

Mkuu, hiyo dawa ni kwa watoto wa umri gani?..

wa kwangu ana wiki mbili sasa, na nahisi nae tumbo hujaa gesi...anapata shida sana kwenye kulala....huwa anastukastuka, na hata namna ya kupumua ni shida pia!!

msaada wako mkuu ni muhimu sana.....
 
Pole sana, nenda duka la dawa tafuta dawa inayoitwa Bonnisan sr ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom