jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Vibonge na kula ni kama samaki na maji,shida mnanuka na kujambajamba hovyo.
5’5 tunalingana😁5.5 FT wewe ni kama mimi na sijawahi kujiona nina 6FT.
Nimeanza kuingia gym kitambo na kitu nikichojifunza ni kwamba uzito utaongezwa au kupunguzwa kutokana na diet ila fitness utaipata gym.
Labda limao na kahawa kila asubuhi, limao na tangawizi nakunywa sana sioni hiyo effect! Huyu apunguze wanga aongeze protein, aachane na sukari, atafute bebe impee stress atakaa sawa!Limao na chai ya tangawizi kwa sana, hayo mafuta yatapunguzwa kwa haraka mkuu. ☕️☕️
Hahaha ila mimi nina mwili ambao kwakua we ni wa kike nitakua kama nakuficha tukisimama wote5’5 tunalingana😁
Sawa, aendelee kuchukua madini itamsaidia.Labda limao na kahawa kila asubuhi, limao na tangawizi nakunywa sana sioni hiyo effect! Huyu apunguze wanga aongeze protein, aachane na sukari, atafute bebe impee stress atakaa sawa!
Kwani we ni mbuyu?😁Hahaha ila mimi nina mwili ambao kwakua we ni wa kike nitakua kama nakuficha tukisimama wote
Siyo mbuyu 😅Kwani we ni mbuyu?😁
Hahahaha mwaya mimi sijafika huko mimi kwenye 5’4 huku👀Siyo mbuyu 😅
Ila 5.5 kwa mwanamke ni height ya juu. Ukisuka na rasta tu tayari unaanza kutuona height ya hapo mbilikimo
Oya dogo kibonge unachamba sana..
Anyway badili mfumo wa hilo life sio poa, sababu hayo madawa utakunywa mpaka lini.. unakula dawa upunguze uzito wakati mfumo wako wa maisha ni kuongeza uzito.
Ni sawa na kutumia dawa za gono huku bado unatomba demu mwenye gono...