Dawa ya Uhakika ya Kupunguza Uzito Bajeti Ipo, Sitaki Msaada wa Bure

Sio kwa kuchamba huko 😃
Basi jitahidi walau ule milo miwili kwa siku na iwe nyama nyama, mboga mboga na mayai,
Maana unywe dawa na hanson choice kila siku hilo figo litakua hoi!
 
Wakati mwingine mtu mwembamba akiona hapewi atention sana hujifanya ni mnene anatafuta dawa ya kupungua ili nae aonekane. Sasa wewe na wembamba wako huo nikikupa dawa zangu za kupunguza unene si utafariki? Wakati mwingine madogo punguzeni sifa au mnataka tuwapeleke milembe?
 
Oya dogo kibonge unachamba sana..
Anyway badili mfumo wa hilo life sio poa, sababu hayo madawa utakunywa mpaka lini.. unakula dawa upunguze uzito wakati mfumo wako wa maisha ni kuongeza uzito.
Ni sawa na kutumia dawa za gono huku bado unatomba demu mwenye gono...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…