Dawa ya Uhakika ya Kupunguza Uzito Bajeti Ipo, Sitaki Msaada wa Bure

Nje ya mada.
Mbona vibonge weng naona wanakuwaga na roho safi. Inakuwaje ww unachamba namna hii?.

Unafokea watu sana Bro. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kwani mim Nina roho mbaya mkuu sina hata kidogo
 
Duh masharti kama ya mganga nianze kulala chini kitanda nakiona kingine vyakula yangu ni mara nyingi ni nyama ndo sana, ugari, maharage, chai ya kawaida Ila sio sana,
 
5.5 FT wewe ni kama mimi na sijawahi kujiona nina 6FT.

Nimeanza kuingia gym kitambo na kitu nikichojifunza ni kwamba uzito utaongezwa au kupunguzwa kutokana na diet ila fitness utaipata gym.
Muda sasa
 
Hapo cha zaidi utachopata ni magonjwa ya ziada kama ya figo na moyo kwasababu mwili wako unarespond kutokana na life style yako ambayo inaupa mwili sababu ya kuwa kibonge.

Unakataa kuachana na chanzo cha uzito then unataka kujadili namna ya kupambana uzito. Dawa itakachofanya ni ukuongezea matatizo zaidi hakuna suluhu ya ziada hapo.
 
Bonge linachamba kwelikweli

Mabonge yanapenda Kunya hivyo swala kumwambia apunguze kula mtagombana
Hivi maskini huwa mna shida gani? Yaani umaskini umeenda hadi kwenye akili. Kwani wewe huendagi kunya mkuu mpaka uone ni jambo la ajabu au geni kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…