Will i.a.m
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 347
- 49
yule tapeli tu watu wanakufa kinoma baada ya kunywaMbona ilipatikana kitambo Loliondo kwa babu
sijakusoma mkali pengooomwananchi nayo copy and paste
sijakusoma mkali pengooo
yule tapeli tu watu wanakufa kinoma baada ya kunywa
mmmh wote huoosio pengo mkuu huo ni mwanya
Maneno yako sio kweli mbona Lukuvi na Wassira bado wako hai!!! Ile dawa ya babu Ambilikile imewaponya.
ni vema ukapitia hiyo fact ya mwanachi kabla ya kukoment mkuu sababu ata hao mwanachi wame nukuu gazeti la nchini sweden miaka mitano sui mini ukizingatia arv user wanaishi miaka zaidi ya 14Hili tushalijadili hapa kabla halijaandikwa Mwananchi.
Katika miaka mitano hiyo hizo strains zote za UKIMWI zitakaa tu zinawasubiri nyie na hiyo dawa yenu?
What you do not understand here is that these microbes are not static, they are ever evolving.
Washagundua kuna mbu huko Thailand anaeneza strain ya Malaria ambayo hai respond kwa madawa makali kabisa tuliyo nayo ya Mlaria.
UKIMWI au hata HIV si kitu kimoja kilicho static useme umeshakipatia tiba.
Ni virusi tofauti vinavyo evolve bila kutabirika.
So at best this is a cat and mouse game.
Sorry to burst your bubble.
Halafu usiamini hayo magazeti ya kibongo vichwa vya habari vikuubwa wanataka kuuza copies tu, fuata relaible sources uone challenges halisi zilizopo.
ni vema ukapitia hiyo fact ya mwanachi kabla ya kukoment mkuu sababu ata hao mwanachi wame nukuu gazeti la nchini sweden miaka mitano sui mini ukizingatia arv user wanaishi miaka zaidi ya 14
umepima kaka hii inauweza w kuua kabiasa virisi ile ya usa ni kupambana tu na kuviacha virusi lakini vinakua havina uwezo wakuungamiza mwili ila hiii inamaliza kabisaIko wapi ila ya NIAD (Usa) si walisema ipo kwenye hatua za mwisho kutambuliwa na WHO? Kuna ile iliyofanyiwa utafiti na kujaribishiwa kwa Polisi wenu!imefikia wapi?si walisema imeonyesha mafanikio makubwa? Kama tayari umenasa we wahi M/mmoja ukaanzre kubugia ma Arv huku ukisubiria heyday yako.
ni vema ukapitia hiyo fact ya mwanachi kabla ya kukoment mkuu sababu ata hao mwanachi wame nukuu gazeti la nchini sweden miaka mitano sui mini ukizingatia arv user wanaishi miaka zaidi ya 14
ni vema ukapitia hiyo fact ya mwanachi kabla ya kukoment mkuu sababu ata hao mwanachi wame nukuu gazeti la nchini sweden miaka mitano sui mini ukizingatia arv user wanaishi miaka zaidi ya 14
Fact gani ya Mwananchi?
Miaka mitano si mingi kwa hiyo HIV haiwezi ku develop a different strain katika miaka mitano?
Kwani matibabu ya magonjwa mengine yooooote tunayotibiwa yaligunduliwaje?
Manake naona kama unataka kujifanya wewe ndio unajua saaana namna ukimwi unavyobadilika.
Hao wanaotengeneza dawa na kuzijaribu wao hawajui kuwa HIV inadevelop different strain
ila unajua wewe tu mwenye akili sana