dawa ya ukimwi yapatikana

dawa ya ukimwi yapatikana

Hili tushalijadili hapa kabla halijaandikwa Mwananchi.

Katika miaka mitano hiyo hizo strains zote za UKIMWI zitakaa tu zinawasubiri nyie na hiyo dawa yenu?

What you do not understand here is that these microbes are not static, they are ever evolving.

Washagundua kuna mbu huko Thailand anaeneza strain ya Malaria ambayo hai respond kwa madawa makali kabisa tuliyo nayo ya Mlaria.

UKIMWI au hata HIV si kitu kimoja kilicho static useme umeshakipatia tiba.

Ni virusi tofauti vinavyo evolve bila kutabirika.

So at best this is a cat and mouse game.

Sorry to burst your bubble.

Halafu usiamini hayo magazeti ya kibongo vichwa vya habari vikuubwa wanataka kuuza copies tu, fuata relaible sources uone challenges halisi zilizopo.
 
ni vema ukapitia hiyo fact ya mwanachi kabla ya kukoment mkuu sababu ata hao mwanachi wame nukuu gazeti la nchini sweden miaka mitano sui mini ukizingatia arv user wanaishi miaka zaidi ya 14
 
Iko wapi ila ya NIAD (Usa) si walisema ipo kwenye hatua za mwisho kutambuliwa na WHO? Kuna ile iliyofanyiwa utafiti na kujaribishiwa kwa Polisi wenu!imefikia wapi?si walisema imeonyesha mafanikio makubwa? Kama tayari umenasa we wahi M/mmoja ukaanzre kubugia ma Arv huku ukisubiria heyday yako.
 
umepima kaka hii inauweza w kuua kabiasa virisi ile ya usa ni kupambana tu na kuviacha virusi lakini vinakua havina uwezo wakuungamiza mwili ila hiii inamaliza kabisa
 
ukimwi ukipata tiba mim nasurender life maana wabongo wata....ana kama ngedere
 
ni vema ukapitia hiyo fact ya mwanachi kabla ya kukoment mkuu sababu ata hao mwanachi wame nukuu gazeti la nchini sweden miaka mitano sui mini ukizingatia arv user wanaishi miaka zaidi ya 14

Fact gani ya Mwananchi?

Miaka mitano si mingi kwa hiyo HIV haiwezi ku develop a different strain katika miaka mitano?
 
Hicho kimama ndio kijuvi cha mambo yote hapa duniani. Kimebobea kwenye sayansi na kwa taarifa yako, kimefanya uchunguzi na kugundua Mungu hayupo.
 
Fact gani ya Mwananchi?

Miaka mitano si mingi kwa hiyo HIV haiwezi ku develop a different strain katika miaka mitano?

Kwani matibabu ya magonjwa mengine yooooote tunayotibiwa yaligunduliwaje? Manake naona kama unataka kujifanya wewe ndio unajua saaana namna ukimwi unavyobadilika.

Hao wanaotengeneza dawa na kuzijaribu wao hawajui kuwa HIV inadevelop different strain ila unajua wewe tu mwenye akili sana
 
Kwani matibabu ya magonjwa mengine yooooote tunayotibiwa yaligunduliwaje?

Matibabu ya magonjwa tofauti yaligunduliwa kwa njia tofauti, kwa majibu maalum toa swali maalum.

Lakini koote huko dawa hazikutangazwa kuwa dawa kabla ya majaribio. Majaribio ni kanuni ya msingi kabisa ya sayansi.

Manake naona kama unataka kujifanya wewe ndio unajua saaana namna ukimwi unavyobadilika.

Kati ya mimi ninayekataa kukubali kirahisi na hao wanaokubali kirahisi kwamba wamepata dawa ya UKIMWI nani anajifanya anajua sana namna UKIMWI unavyobadilika?

Hao mnaowanukuu wenyewe wanawaambia wanahitaji miaka mitano ya majaribio, nyie watu wa kupewa dawa tu mshaanza kushangilia dawa ya UKIMWI imepatikana? Wakija kuwaambia baada ya mwaka mmoja wa majaribio tulikosea, tulifanya assumptions ambazo katika majaribio zimeonekana si kweli, mtasemaje? Mtaendelea kusema "dawa ya UKIMWI imepatikana"?

It ain't over til it's over. Unashangilia ushindi kabla ya dakika 90?

Hao wanaotengeneza dawa na kuzijaribu wao hawajui kuwa HIV inadevelop different strain

Wanajua, ndo maana hawajasema dawa ya UKIMWI imepatikana, wamesema wanahitaji miaka mitano kufanya majaribio.

ila unajua wewe tu mwenye akili sana

Ukiniona mie mja mtwana dhalili kama nina akili sana ni kwa sababu tu labda wewe ni mwanagenzi zaidi, si kwa sababu mimi nina akili sana /s .
 
Back
Top Bottom