Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Kama ulishalijadili, kwani umelazimishwa kujadili tena? Au wewe ndio unatoa ruhusa ya mijadala hapa?Hili tushalijadili hapa kabla halijaandikwa Mwananchi.
Talking as if unamsuta aliyeleta mada. Yeye bila shaka sio Mtaalam wa madawa kama wewe, namuombea msamaha kwako mheshimiwa mjuvi wa kila kitu.Katika miaka mitano hiyo hizo strains zote za UKIMWI zitakaa tu zinawasubiri nyie na hiyo dawa yenu?
Sasa sijui hii unamuaddress nani, mtengeneza dawa au sisi tunaochangia. Kitu kimoja nilichokiona cha hatari hapa ni kwamba, kuwa na mwanamke wa dizain yako kama mke ni janga. Kiherehere cha namna hii sio haiba ya kike. Yaani umefikia kiwango cha kiherehere cha kudhania kwamba, kama sisi hatujui hata mtengeneza dawa hajui. Kwa hiyo ww ndio una akili saaana kiasi cha kuona hamna haja ya kujisumbua, ni kukaa tu chini na kukubali matokeo kwa kuwa microbes are not static?!!!What you do not understand here is that these microbes are not static, they are ever evolving.
Nilifikiri umegundua wewe, kumbe wao hao hao. Enhe, kwa hiyo hii inahusianaje na ukimwi labda?Washagundua kuna mbu huko Thailand anaeneza strain ya Malaria ambayo hai respond kwa madawa makali kabisa tuliyo nayo ya Mlaria.
Una laana ya majisifu wewe sio bure. Yaani unataka kuniambia maabara zooote duniani zinazohangaika kutafuta tiba ya UKIMWI hawana akili wewe ndio unajua saana kuwa ukimwi sio kitu kimoja?UKIMWI au hata HIV si kitu kimoja kilicho static useme umeshakipatia tiba.
Hili uliligundua wewe au hao hao wanaotafuta tiba?Ni virusi tofauti vinavyo evolve bila kutabirika.
Mimi naona kuanzia sasa 'relaible' source yangu ni wewe manake unajua sana kuliko hata hao watengeneza dawa. Leo umenifumbua macho kuwa HIV si kitu kimoja kwa hiyo yeyote anayesema amepata dawa yake ni mwehu.So at best this is a cat and mouse game.
Sorry to burst your bubble.
Halafu usiamini hayo magazeti ya kibongo vichwa vya habari vikuubwa wanataka kuuza copies tu, fuata relaible sources uone challenges halisi zilizopo.
Nikushukuru pia kwa kuipatia dunia tiba ya Tauni, TB, Smallpox, Chickenpox, Malaria na Kaswende. Naamini kwamba, ni uzoefu ulionao wa kuipatia dawa dunia ndio umekupa nafasi ya kuona kwamba hakuna mwingine anayeweza kuipatia dunia tiba ya ukimwi ikiwa wewe umeshagundua kuwa 'zis maikrobs aa not statik'.