Itakuwa kamanda wao anaumwa akipona atarud Tena mpambane hao wadudu n wabishi sanaKanunue oil chafu .....nenda kapake vizuri kabisa wakirudia tena Kula hapo kuna mkono WA MTU........kwenye vile vitobo vyao imimine kabisa utakuja kureta mrejesho........maana kuna fundi aliwai kuniingiza chaka kwenye gypsum nikaweka ambazo sio treated ,mbona zoezi lilifanyika mpaka wakaacha kutafuna maaana nilipaka oil Kira weekend siendi popote nipo nao tunaoneshana mahaba Niue .......SASA hivi kimyaaa sijui kafa kiongozi wao........maana wakitafuna hata kidogo Tu napaka Kira sehemu narudia rudia ......mpaka SASA hivi kimyaaaaaa....hakuna anayethubutu
Sorry mdau naomba jina la hiyo dawa please
Itakuwa kamanda wao anaumwa akipona atarud Tena mpambane hao wadudu n wabishi sana
Binafsi napambana na mchwa mkuu Hawa wanataka kunilaza nje kabisa wameshusha gypsum chumba Cha watoto
Msaada wa dawa Kama unaijua
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mimi nimekwambia paka oil chafu Tu.......yaani Yale mafunza yanayo Kura mbao ukiyaona uwezi amini Lina Meno meusi mbele lakini mbao haichezi kwake .....SASA hivi sisikii chochote kimyaaaaItakuwa kamanda wao anaumwa akipona atarud Tena mpambane hao wadudu n wabishi sana
Binafsi napambana na mchwa mkuu Hawa wanataka kunilaza nje kabisa wameshusha gypsum chumba Cha watoto
Msaada wa dawa Kama unaijua
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
lete mrejeshohizi njia zote nitazijalbu naanza na oil chafu
Uo mlango upake diesel wote na unaweza ukaimix na mafuta ya taa utasaau kabla awajaumalizaWallah kama leo ningepata mgeni ningejua ni wewe.
Mimi najua ndo mchwa kumbe si hao, wakianza kula utafkiri wanasaga mahindi mashineni yaani hao wadudu ni noma, wanapiga kelele sana ,chumba kimoja wametafuna mbao mpaka wameangusha gypsum, chumba kingine mlango wa chooni ukiugonga hivi unatoka unga unga na ni mwepesi sana na umeshatoka, chumba kingine mlango umeliwa sehemu ya kati.
Nasubiri dawa na mie.
HakikaNi ubatizo wa moto tu. Moto haujawai kushindwa kitu.
Wadudu wako juu ya dari kwenye mbao zilizopaulia nyumba hayo maji ya moto unayamwagaje bila kuathiri gypsum boards?Maji ya moto sana mwagia kwenye mbao yenye mdudu, hutaona tena, rudia baada ya mwezi mmoja, hutawaona tena, iwe mdudu wa mbao au hata Kunguni, papasi maji ya moto kabisa ndio dawa yao ya milele, kisha kausha godoro au mbao juani.
Chemsha maji lita 15 au 20 yakichemka kabisa, anza kuchota unamwagia kwenye mbao za kitanda, au godoro au coach, watakufa wote kabisa, alafu weka juani, fanya kazi hii mapema saa 2 hv asubuhi ili uanike juani.
nmejarbu izop njia zote ndugu ila wadudu bado wanatamba tu nshakata tamaalete mrejesho
🤣🤣🤣🤣 nilishaubadilisha mkuuUo mlango upake diesel wote na unaweza ukaimix na mafuta ya taa utasaau kabla awajaumaliza
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Wakimaliza mbao wataanza kukula na weweWallah kama leo ningepata mgeni ningejua ni wewe.
Mimi najua ndo mchwa kumbe si hao, wakianza kula utafkiri wanasaga mahindi mashineni yaani hao wadudu ni noma, wanapiga kelele sana ,chumba kimoja wametafuna mbao mpaka wameangusha gypsum, chumba kingine mlango wa chooni ukiugonga hivi unatoka unga unga na ni mwepesi sana na umeshatoka, chumba kingine mlango umeliwa sehemu ya kati.
Nasubiri dawa na mie.
duuh pole sana, sa ukikata tamaa gypsum zitashuka izonmejarbu izop njia zote ndugu ila wadudu bado wanatamba tu nshakata tamaa
Ni show case mzee nasubili wamalize tu nichonge nyingine sina ujanjaduuh pole sana, sa ukikata tamaa gypsum zitashuka izo
Ingia gharama nunua oil chafu tafuta kijana au wewe mwenyewe hiyo Kaz ufanye kupaka oil chafu mbao zote juu na Nina uhakika itakuwa mwisho hakikisha tu mbao inanyonya oil nyingi wakat wa kupaka na kama Kuna matundu yaliyo Anza kutoboloewa tumia kikopo Cha mafuta ya cherehani kuweka oil chafu na nyunyizia kwenye hayo maeneo ya tobo ili oil ikafikia waduduSalaam,
Kichwa cha habari cha husika, nilinunua mbao nikaezeka na nishafunga gypsum lakini kuna wadudu wanapekecha mbao usiku ni kelele.
Naombeni msaada ni dawa gani ninunue nipande juu nikaspray maana vifaa ninavyo.
Hii ngoja nikupe dawaItakuwa kamanda wao anaumwa akipona atarud Tena mpambane hao wadudu n wabishi sana
Binafsi napambana na mchwa mkuu Hawa wanataka kunilaza nje kabisa wameshusha gypsum chumba Cha watoto
Msaada wa dawa Kama unaijua
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Atumie hii hii kwelMimi nimekwambia paka oil chafu Tu.......yaani Yale mafunza yanayo Kura mbao ukiyaona uwezi amini Lina Meno meusi mbele lakini mbao haichezi kwake .....SASA hivi sisikii chochote kimyaaaa