MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #101
Oil chafu, wameacha kulia, ila sina uhakika kama wameacha kulaMkuu, ulipata tiba ya hilo shambulio la wadudu kwenye mbao za dari?
-Kaveli-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oil chafu, wameacha kulia, ila sina uhakika kama wameacha kulaMkuu, ulipata tiba ya hilo shambulio la wadudu kwenye mbao za dari?
-Kaveli-
Ni kweli, ila shida ikiwa nyumba umeshaezeka tayari, kunawadudu wengine matundu yao hayaonekani, labda uwe na kifaa cha ku-splay.Uyo mdudu ni hatar sana. ila dawa yake ni ya kijinga sana[emoji847] dawa yake ni mafuta ya taa tu bas. mwagia mafuta ya taa sehemu unayohis yupo, atakufa ndani sekunde mbili tu, mafuta ya taa ni sumu kwa wadudu wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa jmn oil chafu ndo dawa imeshamsaidia mtu yoyte au ?Ni kweli, ila shida ikiwa nyumba umeshaezeka tayari, kunawadudu wengine matundu yao hayaonekani, labda uwe na kifaa cha ku-splay.
so ujawai kuckia wakilia tena wala kula it means wamekufa ndan umo umoOil chafu, wameacha kulia, ila sina uhakika kama wameacha kula
Hiyo itakua ni habari njemaso ujawai kuckia wakilia tena wala kula it means wamekufa ndan umo umo
hizi njia zote nitazijalbu naanza na oil chafuChukua kg 2 za chumvi changanya na maji lita 1 Kisha mwagia kwny vitobo hutosikia tena milele
Salaam,
Kichwa cha habari cha husika, nilinunua mbao nikaezeka na nishafunga gypsum lakini kuna wadudu wanapekecha mbao usiku ni kelele.
Naombeni msaada ni dawa gani ninunue nipande juu nikaspray maana vifaa ninavyo
Kwa kweli sina uhakika ila kwa mfano ukitumia ile Dudu Killer ni ufanye kuispray itakuwaje?Salaam,
Kichwa cha habari cha husika, nilinunua mbao nikaezeka na nishafunga gypsum lakini kuna wadudu wanapekecha mbao usiku ni kelele.
Naombeni msaada ni dawa gani ninunue nipande juu nikaspray maana vifaa ninavyo
Ushauri wako mzuri ila sio mzuri sana.Ushauri wajenzi wapya. Nunua soft woods zilizokomaa vizuri na zilizochemshwa na dawa vizuri.
Mbao laini ukiezekea ambazo hazijakingwa kwa dawa ya bunguzi utaimba alelele mapema sana.
Hata mbao zilizo na dawa si zote dawa imeingia vizuri ndani...wapo watu wanaopaka dawa kwa brush haisaidii kanunue mbao kwa dealers kv SaoHill ubao umepikwa na dawa ukaiva.
Salaam,
Kichwa cha habari cha husika, nilinunua mbao nikaezeka na nishafunga gypsum lakini kuna wadudu wanapekecha mbao usiku ni kelele.
Naombeni msaada ni dawa gani ninunue nipande juu nikaspray maana vifaa ninavyo.
Nilinunua mbao nikaambiwa ni treated ila sikuziamini sana, nikanunua dawa nikaziloweka then ndipo nikapaua leo ni miaka 4 hakuna mdudu amesogea. Mbao za Sao hill ni nzuri sana maana ni za viwango vya juu tatizo wengi tunashindwa maana ni gharama juu kuliko wauzaji wengine.Ushauri wajenzi wapya. Nunua soft woods zilizokomaa vizuri na zilizochemshwa na dawa vizuri.
Mbao laini ukiezekea ambazo hazijakingwa kwa dawa ya bunguzi utaimba alelele mapema sana.
Hata mbao zilizo na dawa si zote dawa imeingia vizuri ndani...wapo watu wanaopaka dawa kwa brush haisaidii kanunue mbao kwa dealers kv SaoHill ubao umepikwa na dawa ukaiva.
Sorry mdau naomba jina la hiyo dawa pleaseNilinunua mbao nikaambiwa ni treated ila sikuziamini sana, nikanunua dawa nikaziloweka then ndipo nikapaua leo ni miaka 4 hakuna mdudu amesogea. Mbao za Sao hill ni nzuri sana maana ni za viwango vya juu tatizo wengi tunashindwa maana ni gharama juu kuliko wauzaji wengine.
Mkuu jina la dawa silikumbuki ila nenda pale Tazara kwa wauza mbao waulizie watakupa maelekezo maana mimi nilienda pale nikaweka oda nikainunua niliambiwa huwa zinatoka Iringa kwa wauzaji wakubwa wa mbao na ambao hutibu mbao zao vizuri, au nadhani pia ukienda buguruni au tegeta utazipata cha msingi nenda kwenye centre kubwa za wauza mbao na ongea na wauza mbao mbalimbaliSorry mdau naomba jina la hiyo dawa please