Dawa ya wadudu wanaokula mbao ni ipi?

Dawa ya wadudu wanaokula mbao ni ipi?

Anafananaje? Kwa kingereza anaitwaje nimgoogle nimjue?

sio mmoja wako aina nyingi.
IMG_0168.jpg
 
Huyo mdudu anakuwa kama kiroboto,
Akishaingia ndani ya mbao,anakuwa funza mkubwa tu.

Nilimshuhudia Mara kadhaa baada ya kuvunja eneo la mbao lililoathirika kwa kuliwa..

Ni.kiroboto ambaye hugeuka funza.
Uliwezaje kumteketeza bila kuvunja mbao maana mm nikisema nivunje ni fenicha zote.
 
Habari wana JF
Nimetoka kumtembelea ndugu yangu kwa bahati mbaya dari lake lina shambuliwa na mdudu ambaye anapiga kelele kama msumeno. Nilishtuka kidogo na huyo mdudu naambiwa anachoronga mbao within short time unakuta unga unga hivi. Je dawa ya huyo mdudu ni ipi, tafadhali hili ni jambo la kufa na kupona.
Jaribu kuwapulizia HIT watakufa
 
Oil chafu ni rangi tu. Lakini kitu cha msingi ni oil, oil hukata ngozi ya mdudu kwa sababu imeumbika kwa plastic maalumu ambayo haipendi kitu oil, ikigusa oil hujikunyata na kuoza. Hivyo humfanya mdudu kufa kwa maumivu makali.
Kupunguza gharama Mkuu. Lita 5 = 50,000/=. Oil chafu ni bure!
 
Nilivunja mbao mkuu,
Ndy nikapata nafasi ya kumuona.
Ni funza mkubwa...

Ila akiingia anakuwa ktk hali ya kiroboto kinachotambaa..
Hata mm nilimuona ni mweupe au kama rangi ya manjano iliyopauka hivi. Anakuwa mkubwa tofauti na funza hizi za kawaida yy anakaribia ukubwa wa kidole cha mwisho.
 
Hata mm nilimuona ni mweupe au kama rangi ya manjano iliyopauka hivi. Anakuwa mkubwa tofauti na funza hizi za kawaida yy anakaribia ukubwa wa kidole cha mwisho.
Hakika mkuu,,

Huyo ndy nduli mdudu mla mbao ndani kwa ndani
 
Back
Top Bottom