Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Brother ukiamka salama na kulala salama shukuru Mungu, ila uwe unatenga siku kwenda kutembelea wagonjwa hospitali wasiojiweza, kuna kitu utajifunza
 
Suruhisho si kuzuia ARV bali ni mwafrika mwenyewe kujitambua
 
Ukisoma huu Uzi ,unabakia kucheka tu. Pale mjinga anapotoa elimu kwa kujiamini haswaaa.......
 
Kama umeweza kufungua account ya mtandao huu wa great thinkers, unashindwaje kutambua kuwa hakuna kitu kinaitwa KIRUSI CHA UKIMWI! Ovyo kabisa.
 
Ukisoma huu Uzi ,unabakia kucheka tu. Pale mjinga anapotoa elimu kwa kujiamini haswaaa.......
Na wengi wao wanajifanya madaktari kuwaaminisha wenzao waache dawa wale mlo kamilii [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mm nilitaka ziwe zinauzwa sh 40000 kwa dozi ya mwezi ili kuwafanya watu waogope huo ugonjwa
 
kabla ya kuandika kitu si mfanye tafiti kidogo?
Wanaoeneza ukimwi si wanaotumia ARVs bali wale ambao hawajawahi kupima ila wana maambukizi.
ARVS zinafubaza virus na kumfanya mtumiaji asimuambukize mwenzake kirahisi
 
Aisee watakondeana bila hizo dawa,ugonjwa utatutisha zaidi.
Nalog off Z
 
Aisee watakondeana bila hizo dawa,ugonjwa utatutisha zaidi.
Nalog off Z
Na hiyo ndiyo ufumbuzi wa huu ugonjwa japo mm nasema dawa ziachwe kutolewa bure ziuzwe sh40000 kwa dozi ya mwezi mmoja
 
Kinachositisha,
Mtu akishaanza kutumia, anazima Kama mshumaa
 
Mental disorder is real.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri, mpango uanze nchi kwa nchi kutoziagiza na kuzitumia kabisa,
 
Ukinywa ARVs vizuri, huwezi ambukiza wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…